hahahaAnalipia anapewa upendo mpaka anajiuliza nini hiki;!!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hahaha
Hivi kutokukuwekea reaction ya kuichukia post yako nayo ni roho mbaya?!Hii tabia ya baadhi ya members Ku reply bila kuweka na kareaction kokote ni roho mbaya tu zinawasumbua.
Tujitahidi jamani kusambaza upendo wakati wa kureply.kuweka reaction yoyote.iwe ya kuchukia,kufurahi,kupongeza,etc.sometimes tuvitu tudogo tudogo kama hivi vinatufanya wana JFGT tupendane na kupeana motisha.
Ni hayo tu.
Sijanywa chai bado.πππ
Hivi kutokukuwekea reaction ya kuichukia post yako nayo ni roho mbaya?!
ngoja nitafute hela na mimi nionje upendo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119]ngoja nitafute hela na mimi nionje upendo
Yaani hadi mtoa mada nawe hujui..!!??Maybe!!
Analipia anapewa upendo mpaka anajiuliza nini hiki;!!!
Rudi[emoji125][emoji125][emoji125]
nibakizie na mimi upendo kidogo...sawa![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119]
Mamy mbona Mimi emoj ninazo na notification zinafika na ninatumia appWatumiaji wa app hatuna emoji sometimes notifications hatuzipati full vimbweka yani
Usjali hata akiumaliza ukija wewe utakuta uko updatednibakizie na mimi upendo kidogo...sawa!
Hivi kutokukuwekea reaction ya kuichukia post yako nayo ni roho mbaya?!
asante sana.Usjali hata akiumaliza ukija wewe utakuta uko updated
Mamy mbona Mimi emoj ninazo na notification zinafika na ninatumia app