ROHO MBAYA TU 😑😑😑

Atume pesa kwanza mjini cha bure salamu tu....

Hata kuuliza njia unalipia
JF, unaweza ukaambiwa, ukajibiwa, ukazodolewa, kiasi ambacho kama una roho ya gamba la yai ukanunua simu kila wiki, kwa sababu ya kuzipigiza chini kwa hasira..[emoji31][emoji31]
 
Mi sina emoji yoyote notification zinakuja mara chache sana wakati mwingine inaniletea notification za mada za mwaka juzi mpk najiuliza mchawi gani huyu
Mchawi madame B..[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
JF, unaweza ukaambiwa, ukajibiwa, ukazodolewa, kiasi ambacho kama una roho ya gamba la yai ukanunua simu kila wiki, kwa sababu ya kuzipigiza chini kwa hasira..[emoji31][emoji31]
Kwahiyo umekasirika????? Haya vunja simu
 
sio mimi minaejibiwa mkuu, namuonea huruma mtoa mada..[emoji851][emoji851]


Me mwenyewe na enjoy
🀣🀣🀣🀣🀣
Stress za maisha tu ndo zinafanya yote haya,so ukikaza kichwa bila kuzoea maisha ya humu ndani.soon utapelekwa milembe.
 
Yaani mtu anaweza kuhisi umemkaushia kumbe wapi

Inatuletea uchonganishi sana
Sanaaaaaaa! Kama app ndio majanga kabisa. Notifications haziji au zikija zinachelewa kweli. Ya wiki ilopita unaipata leo.
 
Najisikiaga km nimepoa sana yaani inanyong'onyeza sana
Yeah!! Unaweza kuaingia kwa web unakuta kumbe mtu alikumention mwezi ulopita na haukuona[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…