Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
JF, unaweza ukaambiwa, ukajibiwa, ukazodolewa, kiasi ambacho kama una roho ya gamba la yai ukanunua simu kila wiki, kwa sababu ya kuzipigiza chini kwa hasira..[emoji31][emoji31]Atume pesa kwanza mjini cha bure salamu tu....
Hata kuuliza njia unalipia