ROHO MBAYA TU 😑😑😑

We ni mod? If yes nikuelezee matatizo mengine mengi[emoji23]
Mimi sio mod mkuu, nilijaribu tu kudadisi ili kama nina uwezo nikusaidie ili ufurahie huduma za JF, hata hivyo mods kama wameisoma hii wakusaidie.
 
Mimi sio mod mkuu, nilijaribu tu kudadisi ili kama nina uwezo nikusaidie ili ufurahie huduma za JF, hata hivyo mods kama wameisoma hii wakusaidie.
Ooooh!! Basi shukrani mkuu.
 
Ooooh!! Basi shukrani mkuu.
Mimi nilishauriwa Ku up date, ila ikaja tofauti. Nikitaka emoji naipata kwenye mshale wa chini kulia chini baada ya Ku hold.
 
Hizo ni za kwenye simu, sio za kwenye app. Hata mimi emoji ninazotumia ni za kwenye simu.
Sina tatizo na emoj.
Samahani mkuu, kwani hiyo app unaitumia kwenye simu au wapi ?
 
AVI YAKO...kuna muda ubwege unalinda mahusiano..πŸ˜€[emoji23]🀣[emoji38][emoji16][emoji23]
Haahhahahahaah ndiondio au we hujui .....ukiwa juu tuuuuuu lazima mtashindwana afadhali muda mwingine uwe bwege ili kunusuru mahusiano yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…