Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
We ni mod? If yes nikuelezee matatizo mengine mengi[emoji23]Kwa hiyo tatizo ni notification tu, au na emoji ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mod? If yes nikuelezee matatizo mengine mengi[emoji23]Kwa hiyo tatizo ni notification tu, au na emoji ?
Mimi sio mod mkuu, nilijaribu tu kudadisi ili kama nina uwezo nikusaidie ili ufurahie huduma za JF, hata hivyo mods kama wameisoma hii wakusaidie.We ni mod? If yes nikuelezee matatizo mengine mengi[emoji23]
Ooooh!! Basi shukrani mkuu.Mimi sio mod mkuu, nilijaribu tu kudadisi ili kama nina uwezo nikusaidie ili ufurahie huduma za JF, hata hivyo mods kama wameisoma hii wakusaidie.
Mimi nilishauriwa Ku up date, ila ikaja tofauti. Nikitaka emoji naipata kwenye mshale wa chini kulia chini baada ya Ku hold.Ooooh!! Basi shukrani mkuu.
Hizo ni za kwenye simu, sio za kwenye app. Hata mimi emoji ninazotumia ni za kwenye simu.Mimi nilishauriwa Ku up date, ila ikaja tofauti. Nikitaka emoji naipata kwenye mshale wa chini kulia chini baada ya Ku hold.View attachment 1083349
Samahani mkuu, kwani hiyo app unaitumia kwenye simu au wapi ?Hizo ni za kwenye simu, sio za kwenye app. Hata mimi emoji ninazotumia ni za kwenye simu.
Sina tatizo na emoj.
AVI YAKO...kuna muda ubwege unalinda mahusiano..😀😂🤣😆😁😂Analipia anapewa upendo mpaka anajiuliza nini hiki;!!!
Haahhahahahaah ndiondio au we hujui .....ukiwa juu tuuuuuu lazima mtashindwana afadhali muda mwingine uwe bwege ili kunusuru mahusiano yakoAVI YAKO...kuna muda ubwege unalinda mahusiano..😀[emoji23]🤣[emoji38][emoji16][emoji23]
alaaaa kumbe ndio siri ya mchezoHaahhahahahaah ndiondio au we hujui .....ukiwa juu tuuuuuu lazima mtashindwana afadhali muda mwingine uwe bwege ili kunusuru mahusiano yako