lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu,
Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu,
Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti.
Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji.
Imebadilika kwamba kumbe hawana weledi wowote kwenye kazi zao,haijulikani kama polisi ni watu wema au ni majambazi,huko mitaani wanajadili.
Wanaonekana wabambika kesi,
Watesaji,
Wezi wa pesa za Adamoo,
Wakatiki,waonevu na Kila aina ya ubaya ni wao.
Kila kijiwe ni Kingai,Mahita,na wengineo,
Vituo vya polisi vinaonekana kama kambi za mateso badala ya kuwa vituo vya matumaini na masada kuwa raia.
Wanamapungufu yao kweli,lakini hilo la Mbowe Gaidi bado naamini kuna Vijiwanasiasa viko nyuma ya ubambikaji wa kesi hii dhidi ya Mbowe na wenzake,kwa sababu tu Mbowe ni tishio kwao hivyo Vijiwanasiasa.
Vilimbomolea Club yake,
Vikaharibu bustani sake,
Vikaiba fedha kwenye akaunti zake,
Vikafunga akaunti zake,
Na Vikamuibia kura zake za ubunge.
Vikaona Mbowe hatetereki Yuko imara na Chadema yake.
Sasa vikaja na kubwa lao,kutengeneza mashitaka kijinga kabisa Mbowe Gaidi.
Maelekezo ya Mbowe apewe kesi ya ugaidi yanatokea na Vijiwanasiasa,na kutekelezwa na polisi,na lawama zote sasa ni kwa polisi.
Hakuna anaevijua Vijiwanasiasa hivyo,viko kwao vinakula chips,biriyani,pilau na michemsho hatuvijui lakini tunawaua akina Kingai,Mahita na askari polisi wengine.
Tunawatukana,tunawalaani na tunawaombea dua mbaya wao na watoto wao,lakini Vijiwanasiasa vilivyowapa maelekezo kutoka juu viwatungie kesi za uongo akina Mbowe na Adamoo hatuvijui ndio maana hatuvilaani,viko vinatembea na ma vietee wakatia akina Kingai na wenzake wanaambulia laana.
Na nadhani Akina Kingai wanaridhika na hali hiyo.
Sijui "waliomuua" tundu lisu wako wapi na wanajisikiaje leo hii.!!!?
Vijiwanasiasa viliwatuma wauaji wakamuue.
"Dunia tunapita,itakayobaki milele ni milima".