Roho Mtakatifu na Mwamini

Majini yanasoma vizuri Qurani kupita watu.
The Case Study of Shehe Sharifu Majini.
 
Unautafsiri ukristu kwenye pesrpective ya Muhammad
 
Hakuna jipya ni abracadabra zilezile tu,za Mungu kushuka duniani Kisha kudundwa na jakobo akitaka ambariki, Mungu akapakachuliwa Paja akambariki yakobo, Mungu kwenye biblia katukanwa na kuzushiwa sana
Endelea kumwabudu Allah mwenye nafsi moja waachie wakristu na Mungu wao mwenye nafsi tatu. Maana yake imesemwa hakuna Mungu isipokuwa allah. Huyo Mungi anayesemwa hayupo ana nafsi tatu
 
Injili ya nabii issa naipataje?
 
Wapi kwenye biblia kumeongelea "utatu"?
Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.

Mungu si Allah hata quran imemkataa Mungu kwa kusema hakuna Mungu isipokuwa Allah. Allah ni mmoja Mungi ana nafsi tatu.

Zaburi 14 inasema Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu
 
Tunataka muwache kumshirikisha Mungu, Yesu anasema:

Yn 17:3 SUV​

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Unachnganya sana kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu na allah.
"Hakuna Mungu isipokuwa allah
 
 
AA
Endelea kumwabudu Allah mwenye nafsi moja waachie wakristu na Mungu wao mwenye nafsi tatu.Manake imesemwa hakuna Mungu isipokuwa allah.Huyo Mungi anayesemwa hayupo ana nafsi tatu
Allah Kwa sis wakristo aexist I mean hayupo Wala hatumtambui...tupo bize na Roho Mtakatifu nafsi ya tatu ya Mungu,,anatusaidia sana mamb yetu karibu na ww
 
HAKUNA KITU KINAITWA UTATU MTAKATIFU.

UTATU MTAKATIFU ni Mafundisho ya Babeli(Mafundisho ya uongo na ushetani)

Hakuna kitu kinaitwa UTATU MTAKATIFU.

OGOPA sana Mafundisho ya ROMAN.
Adventist kila msichoamini ni mafundisho ya Roman...poleni
 
Ngoja kwanza...!


Huyo roho mtakatifu mnampataje?
Roho mtakatifu anapatikana kwa imani pale unapomkiri Yesu kristo kama Bwana na Mwokozi/Pale unapoamini juu ya ujio wake Duniani na kuwa alizaliwa, akafa na kisha akafufuka na akapaa kwenda Mbinguni.

Baada tuu ya kuweka huu ukiri wa kumaanisha basi jua unae Roho Mtakatifu ndani yako. Pasipo Roho mtakatifu ndani ya Mtu huyo mtu hajafanyika kuwa mwana wa Mungu na kwa ukweli huwezi mfahamu Yesu Kristo kwa kina na kwa namna inayotakiwa pasipo Roho mtakatifu kuhusika.

Issue inayofuatia baada ya hapo ni namna ya kuishi naye kama rafiki, mwalimu na kiongozi na ndo kusudi halisi la huu uzi. Na ndo maana kichwa kinasomeka ni Roho mtakatifu na mwamini.
 
Adventist kila msichoamini ni mafundisho ya Roman...poleni
Kunasehemu nililuwa nasoma wao pia wanaamini labda kuna namna wanaweza kuwa wanatofautiana katika mafundisho.
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-094109_Chrome.jpg
    131 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230605-094119_Chrome.jpg
    206.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230605-094149_Chrome.jpg
    207.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094200_Chrome.jpg
    200.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094209_Chrome.jpg
    205.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094219_Chrome.jpg
    184.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230605-094225_Chrome.jpg
    213.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094232_Chrome.jpg
    224.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094238_Chrome.jpg
    192.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094244_Chrome.jpg
    211.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094251_Chrome.jpg
    226.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094300_Chrome.jpg
    233.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    237.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    237.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094408_Chrome.jpg
    227.4 KB · Views: 3
Unapata kwa kuomba kwa Imani, hakikisha unaomba Toba ya kweli,

Huyu Roho Mtakatifu ni mwalimu na msaidizi

Siwezi eleza zaidi maana haya mambo ni ya kiroho, lazima kwanza umwamini YESU
Mmmh! Ni ngumu kumesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…