Roho Mtakatifu na Mwamini

Roho Mtakatifu na Mwamini

Majini yanasoma vizuri Qurani kupita watu.
The Case Study of Shehe Sharifu Majini.
 
Ndo Matatizo Ya dini Ya Paulo,

Matendo ya Mitume 7:55
Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu.

Yesu(Neno) Kasimama Upande Wa Kuume(Kulia)Wa Mungu na Sio Mungu Kasimama upande Wa kulia Wa mungu.
Jaribu Kuelewa Maandiko Hapo Yesu(Neno)hausishwi Na Umungu,Amesimama Upande wa Kulia wa Yule Anayeitwa Mungu

Kutoka 20:3
Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Marko 12:29
Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;

1 Timotheo 2:5
[Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;

Naomba Andiko linalosema yesu Ni Mungu au Yesu Mumwabudu Au Yesu anasema yy Ni Miongoni mwa Miungu
Unautafsiri ukristu kwenye pesrpective ya Muhammad
 
Hakuna jipya ni abracadabra zilezile tu,za Mungu kushuka duniani Kisha kudundwa na jakobo akitaka ambariki, Mungu akapakachuliwa Paja akambariki yakobo, Mungu kwenye biblia katukanwa na kuzushiwa sana
Endelea kumwabudu Allah mwenye nafsi moja waachie wakristu na Mungu wao mwenye nafsi tatu. Maana yake imesemwa hakuna Mungu isipokuwa allah. Huyo Mungi anayesemwa hayupo ana nafsi tatu
 
Mwanzo 32:28
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.

Mungu wa Biblia Huyo kapigwa Na Yakobo.
Yakobo alipoona Mungu anataka kumshinda Yakobo Akamshika Mungu chini Ya uvungu wa Paja(Korodani) Mungu akasurrender.

Acheni Ushabiki,Ubishi na Kurithi Dini kwa Wazazi Angalieni Ipi Ni Dini Ya Haki,Maneno Ya Biblia Yalishaharibiwa Kitambo
Na Ndo Maana Leo Tunabiblia Kibao King James,American Extended Version,Union Version n.k Na Zimepishana Idadi Ya Vitabu watu wanatoa Baadhi ya Maandiko,Wanayapunguza Kwa Faida zao na Baadhi ya Vifungu Vilivyobaki Wanaviharibu kuchafua injili aliyopewa Nabii Issa,torati aliyopewa Mussa na Zaburi aliyopewa Nabii Daudi.
Kwa Hakika Quran Imekuja Kurekebisha Yale yalioharibiwa

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
Injili ya nabii issa naipataje?
 
Wapi kwenye biblia kumeongelea "utatu"?
Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.

Mungu si Allah hata quran imemkataa Mungu kwa kusema hakuna Mungu isipokuwa Allah. Allah ni mmoja Mungi ana nafsi tatu.

Zaburi 14 inasema Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu
 
Tunataka muwache kumshirikisha Mungu, Yesu anasema:

Yn 17:3 SUV​

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Unachnganya sana kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu na allah.
"Hakuna Mungu isipokuwa allah
 
Shalom Shalom.

Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu.

Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa tushirikishane kwa wale ambao teyari wameshamwamini Yesu Kristo(Wakati mwingine nitaongelea Roho mtakatifu na wale ambao bado hawaamini).

Kumekuwa na mafundisho mengi sana juu ya Roho mtakatifu ambayo kwa sehemu kubwa yameishia kwenye nadharia na sio vitendo halisi vya kuona udhiirishwaji wa kile ambacho kimekuwa kikifundishwa au kuhubiriwa. Kiuhalisia Roho Mtakatifu ndo kila kitu kwenye kanisa la leo katika kumuishi Yesu Kristo kwa uthabiti na uhakika pasipo yeye ukristo unakuwa mzigo mzito sana na mwishoe ni kujipata kwenye misingi ya sheria zaidi. Kama waamini tutajidhatiti kuwa chini ya maongozo yake (Mungu Roho mtakatifu) hakuna namna yale ambayo Bwana Yesu aliahidi kuwa tutayafanya zaidi yake yatashindikanika.

Yako Mengi ya kuyaongea juu ya Mungu Roho Mtakatifu juu ya utendaji wake, na mengi yanayo muhusi kwa namna ya kawaida ambayo kwa hakika kila ataweka nia kufanya majaribio ataona matokeo. Kumbuka ni kupitia nguvu na uweza wa Roho mtakatifu ndimo karama na vipawa vyote hufanya kazi na hata ile hali ya ushuhuda halisi wa mwamini kuthibitika.

Nafahamu hapa watu wengi tu wamekuwa encountered na Roho mtakatifu hivyo maswali yatakayo ulizwa nina hakika yajibiwa kwa kina .Karibuni kwa michango na Maswali..
 
AA
Endelea kumwabudu Allah mwenye nafsi moja waachie wakristu na Mungu wao mwenye nafsi tatu.Manake imesemwa hakuna Mungu isipokuwa allah.Huyo Mungi anayesemwa hayupo ana nafsi tatu
Allah Kwa sis wakristo aexist I mean hayupo Wala hatumtambui...tupo bize na Roho Mtakatifu nafsi ya tatu ya Mungu,,anatusaidia sana mamb yetu karibu na ww
 
HAKUNA KITU KINAITWA UTATU MTAKATIFU.

UTATU MTAKATIFU ni Mafundisho ya Babeli(Mafundisho ya uongo na ushetani)

Hakuna kitu kinaitwa UTATU MTAKATIFU.

OGOPA sana Mafundisho ya ROMAN.
Adventist kila msichoamini ni mafundisho ya Roman...poleni
 
Ngoja kwanza...!


Huyo roho mtakatifu mnampataje?
Roho mtakatifu anapatikana kwa imani pale unapomkiri Yesu kristo kama Bwana na Mwokozi/Pale unapoamini juu ya ujio wake Duniani na kuwa alizaliwa, akafa na kisha akafufuka na akapaa kwenda Mbinguni.

Baada tuu ya kuweka huu ukiri wa kumaanisha basi jua unae Roho Mtakatifu ndani yako. Pasipo Roho mtakatifu ndani ya Mtu huyo mtu hajafanyika kuwa mwana wa Mungu na kwa ukweli huwezi mfahamu Yesu Kristo kwa kina na kwa namna inayotakiwa pasipo Roho mtakatifu kuhusika.

Issue inayofuatia baada ya hapo ni namna ya kuishi naye kama rafiki, mwalimu na kiongozi na ndo kusudi halisi la huu uzi. Na ndo maana kichwa kinasomeka ni Roho mtakatifu na mwamini.
 
Adventist kila msichoamini ni mafundisho ya Roman...poleni
Kunasehemu nililuwa nasoma wao pia wanaamini labda kuna namna wanaweza kuwa wanatofautiana katika mafundisho.
 

Attachments

  • Screenshot_20230605-094109_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094109_Chrome.jpg
    131 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230605-094119_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094119_Chrome.jpg
    206.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230605-094149_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094149_Chrome.jpg
    207.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094200_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094200_Chrome.jpg
    200.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094209_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094209_Chrome.jpg
    205.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094219_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094219_Chrome.jpg
    184.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230605-094225_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094225_Chrome.jpg
    213.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094232_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094232_Chrome.jpg
    224.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094238_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094238_Chrome.jpg
    192.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094244_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094244_Chrome.jpg
    211.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094251_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094251_Chrome.jpg
    226.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094300_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094300_Chrome.jpg
    233.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    237.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094337_Chrome.jpg
    237.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230605-094408_Chrome.jpg
    Screenshot_20230605-094408_Chrome.jpg
    227.4 KB · Views: 3
Unapata kwa kuomba kwa Imani, hakikisha unaomba Toba ya kweli,

Huyu Roho Mtakatifu ni mwalimu na msaidizi

Siwezi eleza zaidi maana haya mambo ni ya kiroho, lazima kwanza umwamini YESU
Mmmh! Ni ngumu kumesa
 
Back
Top Bottom