Roho Mtakatifu na Mwamini

Sijui Ni Lugha Ya Kiingereza Imekuchanganya

, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814

Each One Of You And Not Each Muslim,Je Kama Each One Of you Wanaambiwa Wasio Waislamu.
Kwani muhammad alikuwa anaongea na wakristo? Maandiko ya waislamu ni kwa ajili ya waislamu na ya wakristo ni Kwa ajili ya wakristo ndio umeona ya wakristo yanasema tunalindwa na Malaika na waislamu yanasema mnalinwa na mapepo
 
Kwenye biblia Hakuna Mungu Baba , Mungu mwana , Na Mungu roho matakatifu

Kuna kwa jina la Baba Na la mwana Na la roho matakatifu

Kwa Akili za wanadamu fulani waliongeza vyao wakaona Waite vyote Mungu
 
Sijui Ni Lugha Ya Kiingereza Imekuchanganya

, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814

Each One Of You And Not Each Muslim,Je Kama Each One Of you Wanaambiwa Wasio Waislamu.
Biblia inakuhusu wewe muislamu?
Jehovah kasema tunalindwa na Malaika na Allah kasema mnalindwa na mapepo
Soma
Wakristo wanalindwa na Malaika
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.

Waislamu wanalindwa na mapepo
Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Kama huwezi waambia Siri ya roho Mt je unaweza kuwahubiria wapokee wokovu?
 
Unahisi Uislam ulianzaje?
 
Asante na mie ushanipa siri😂😂😂
 
Yesu anasema:

Yn 17:3 SUV​

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Uko sahihi kabisa kwamba MUUMBA ni mmoja na sio nafsi tatu, ila wakristo wengi hawajui ndo maana katika kitabu ikaandikwa Zekari 14:9 “Naye Bwana atakuwa Mfalme juu ya nchi yote; siku hiyo Bwana atakuwa mmoja, na jina lake moja.”

Lakini pia inathibitishwa kwamba ni mmoja ukisoma

1Korintho 15:24-28

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana(Yesu) mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.”[B/]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…