Mungu Ni Mmoja Hawezi Exist Kama Kama Roho Mtakatifu pia kama Binadamu
Hosea 11:9
Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumwangamiza Efraimu; kwa maana mimi ni Mungu, si mwanadamu mimi; mimi ndiye aliye Mtakatifu katikati yenu; wala sitaingia ndani ya mji.
Mungu Anasema yeye Ni Mungu na si Mwanadamu,Mungu kautakaa Ubinadamu Baada Ya hapo aje Tena Kama binadamu wakati Kashajitapa Kwa watu Kama yeye Ni Mungu.Mungu Wa Aina gani Huyu mimi Mwenyewe Ningemdharau Mungu Wa Namna hii Kwa sababu Kajitofautisha na sisi Alafu baadae Kaja Kama sisi Tena.
Pia Kwenye Nafsi tatu Mmmh Ngoja tuone Maandiko.
Amosi 6:8
Bwana MUNGU ameapa kwa nafsi yake, asema BWANA, Mungu wa majeshi; Naizira fahari ya Yakobo, nachukizwa na majumba yake; kwa sababu hiyo nitautoa huo mji, pamoja na wote waliomo ndani yake.
Mungu ameapa Kwa nafsi yake Na Si Nafsi Zake, Hizo Tatu Unazosema.
Mungu ana Nafsi Moja Na Kaapa Kwa nafsi Yake Moja.
MUHAMMAD ALISEMA WAISLAMU WATAGANYIKA MADHEHEBU 73 NA WOTE 73 WATAKUWA NDANI YA JEHANAMU NA MOJA LINAKWENDA PEPONI SWALI YUPI ATAINGIA PEPONI KATI YA MADHEHEBU 73?
HII NDIYO ORODHA KAMILI YA MADHEHEBU 73 YA KIISLAMU NA MSIMAMO WA KILA MMOJA
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ATAKWENDA JEHANAMU NA WAISLAMU WATATUPWA JAHANAMU WOTE
Imesimuliwa na Abu Huraira;
Muhammad anasema: Waislam wakamuuliza, Nabii wa Allah tutamuona Bwana wetu? Nabii akawajibu, je mna khofu ya kuona Mwezi mzima kwenye usiku usiyo na mawingu? Wakamjibu hapana. Nabii wa Allah akasema tena, je mna khofu ya kuona Jua siku ambayo haina mawingu? Wakajibu kwa kukataa. Nabii wa Allah akasema, kwenye siku ya ufufuo watu watakusanyika makundi kwa makundi. Mtamuona Allah. Waabudu Mwezi wata ufuata Mwezi. Waabudu Jua watalifuata Jua. Na wengine watafuata miungu yao. Lakini Waislam wote watabakia nyuma pamoja na mimi. Waislam wakamuuliza Nabii wa Allah, tubakie hapa mpaka tutakapo muona Bwana wetu. Ndipo Allah atakuja na kusema mimi ni Bwana wenu. Na Wakamjibu hakika wewe ni Bwana wetu. Ndipo Allah ataweka Daraja kuelekea Jehannam na Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza kuingia kwenye daraja na wafuasi wangu wote watanifuata. Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza wa Manabii kutupwa ndani ya Jehanamu Na kisha Waislam watatupwa wote jehanamu na wataakuwa wakisema Ooo Allah tuokoe, Oooh Allah tuokoe
Sahih Bukhari 12 Juzuu Ya 001, kitabu 012, Hadithi Namba 770.
رواه أبو هريرة. يقول محمد: سأله المسلمون: يا رسول الله هل نرى ربنا؟ أجاب النبي: "هل تخشى أن ترى البدر في ليلة صافية؟" أجابوه بالنفي. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: هل تخافون من رؤية الشمس في يوم لا يوجد فيه غيوم؟ فأجابوا بالكفر. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم يوم القيامة يجتمع الناس في جماعات. سترى الله. عبّاد القمر سيتبعون القمر. سوف يتبع عبدة الشمس الشمس. وسيتبع آخرون آلهتهم. لكن كل المسلمين سيتركون معي. طلب المسلمون من نبي الله أن نبقى هنا حتى نرى ربنا. ثم يأتي الله ويقول أنا ربك. فقالوا: ((أنت ربنا)). ثم يقيم الله الجسر إلى الجحيم وأنا محمد سأكون أول من يدخل الجسر ويتبعني جميع أتباعي. أنا محمد سأكون أول الأنبياء الذين يلقون في جهنم ، وبعد ذلك سيُلقى كل المسلمين في جهنم وسيقولون اللهم احفظنا ، اللهم احفظنا. صحيح البخاري 12 المجلد 001 ، الكتاب 012 ، الحديث رقم 770.
ALLAH HATAWAOKOA WAISLAMU SIKU YA KIYAMA MAANA NA YEYE ATAKUWA NDANI YA JEHANAMU USHAHIDI HUU HAPA NA HATATOKA HUMO
KWA KISWAHILI
Mtume alisema watu watatupwa Jahanamu, naye Allah ataiuliza Jahanamu akisema, Je umejaa nayo Jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu (Quran 50:30)? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake ndani ya Jehanamu nayo Jahanamu itasema inatosha! Inatosha Qat Qat.
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ. حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Sahih al-Bukhari 4848 Juzuu ya 6 kiasi cha 60, Hadithi 371
MWISHO WA SOMO
YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA WA MILELE NA NDIYO MAANA QUR'AN YENU IMETHIBITISHA WAKRISTO WANAPATA UZIMA WA MILELE
Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.