Habari yafooo mkuu.Kama Mungu hana ithibati, utajuaje kwa uhakika kwamba yupo na si hadithi tu?
Kinachofanya ukubali hili japo halionekani wala kuthibitika na usiamini uongo ambao hauonekani wala kuthibitika ni nini?Kutokuonekana kwake na kutothibitika kwake ndiko kunamfanya awepo.
Yapo mambo ambayo kutokuwepo kwayo ndipo uwepo wao ulipo
Hujajibu swali nililouliza, ulilojibu sijauliza.Habari yafooo mkuu.
Kama nilivotangulia kusema hapo mwanzoni Imani haina ithibati. Imani ni kubwa kuliko sayansi, sayansi inajihusisha na vitu vyenye ithibati pekee.
Kutokuthibitika kwake ndiko kuna nifanya niamini Yupo.Kinachofanya ukubali hili japo halionekani wala kuthibitika na usiamini uongo ambao hauonekani wala kuthibitika ni nini?
Hijajibu swali nililokuuliza.Kutokuthibitika kwake ndiko kuna nifanya niamini Yupo.
Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani."Na wanakuuliza kuhusu roho?, waambie roho ni katika mambo ya Mola wako mlezi na nyie hamkupewa elimu ya roho isipokuwa kidogo"
~Qur'an
Nimelielewa sana. Soma jibu nililokupa tenaHijajibu swali nililokuuliza.
Lisome tena.
Kama hujalielewa omba ufafanuzi.
Umeelewa nini? Nilichouliza nini?Nimelielewa sana. Soma jibu nililokupa tena
Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.Hakuna utata wowote wapi roho inaenda baada ya kifo. Biblia takatifu imetoa ufafanuzi wa kina juu ya suala hilo. Wanaosema kuna utata au wanaoleta hoja tofauti na Biblia hivyo yote ni kazi ya Shetani kuupotosha ukweli. Someni Biblia mkiongozwa na roho wa Bwana mtaelewa vema.
Unataka kumpangia Mungu cha kuumba? Yeye kaamua kuumba hivi angeumba kama unavyotaka ungeuliza pia kwa nini hajaumba hivi.Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Mpaka sasa hakuna aliyeweza kuthibitisha uwepo wa roho wala Mungu.Hivi wakati yai la mwanamke linapoungana na mbegu ya mwanaume ni wakati huo roho inashuka kutoka kwa Mungu na kuanzisha maisha au maisha yanajianzisha yenyewe? Na kama inashuka kutoka kwa Mungu, zipo aina moja au kuna ya kike na kiume? Ya kizungu, kiafrika, kichina nk. Anatuma nyingine inaazisha maisha ya akili finyu na akili ya kutisha, mtoa hoja mimi sina jibu, ila kinachokufanya uishi ndio roho ilipotaka kwangu ni utata
Kweli kabisa na hili ndio jibu kwa wale wanaopinga kuwa hakuna Mungu. Mungu ni roho haonekani kwa macho ya nyama na damu.Yeah!!
Ndio maana huna uamuzi nayo. Wala hujui habari zake. Ikiamua kutoka inatoka na wala huwezi kuizuia.
Si habari ya kumpangia. Ni habari ya kutafuta logical consistency.Unataka kumpangia Mungu cha kuumba? Yeye kaamua kuumba hivi angeumba kama unavyotaka ungeuliza pia kwa nini hajaumba hivi.
Alafu kuniuliza mimi swali la 'kwa nini...' Huku ukihusisha nafsi nyingine isiyo mimi hilo swali kwangu ni irrelevant.
Yaani ikishakuwa namuamini ndio nijue sababu gani kafanya hivi na sababu gani hakufanya hivi?Si habari ya kumpangia. Ni habari ya kutafuta logical consistency.
Wewe unayesema yeye kaamua kuumba hivi, wakati huwezi kuelezea sababu, huelewi sababu. Kama huelewi sababu humuelewi. Kama humuelewi huelewi unachoamini. Kama huelewi unachoamini unaweza kuamini kitu ambacho hakipo.
Nakuuliza wewe swali la kwa nini kuhusu Mungu huyu kea sababu unamuamini.
Ukishindwa kujibu huelewi unachoamini.
Yaani ikishakuwa namuamini ndio nijue sababu gani kafanya hivi na sababu gani hakufanya hivi?
Huwezi kuniuliza mimi kwa nini fulani kafanya/hakufanya hivi.
Kuamini nisichokielewa/kisichokuwepo ni hali yangu wacha nipambane nayo
Kutokujua kwa nini mungu hajaumba hivi au vile hilo ni tatizo lako pambana nalo mwenyewe. Tusihusishane ebo!
Yee mwenyewe kasema sio MunguWanasema ni Mungu. Tito 2:13
Duu hapo sasa ndipo wakristo ninapowashangaa kutokuiamini QuranYee mwenyewe kasema sio Mungu