Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Hujajibu swali langu, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao kuna uzuri lakini ubaya haupo na hauwezekani kuwepo?Ubaya na uzuri ni kitu kimoja / like darkness and light /noise and silence..
You can't have one without the other.
Mwanga hutokea gizani.
Hili ndilo swali langu, ambalo hujalijibu.