ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 103
- Thread starter
-
- #101
Mungu alishaumba malaika , ambao hawakuwa na matamanio, ambao walifanya mazur tu na walikaa miaka sana, kwa hiyo ni utashi wake kuja kumuumba mwanadamu ambaye akampa matamanio na 'free will'.Hujajibu swali langu, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao kuna uzuri lakini ubaya haupo na hauwezekani kuwepo?
Hili ndilo swali langu, ambalo hujalijibu.
Ukishajibu "ni utashi wake", kimsingi umesema hujui sababu.Mungu alishaumba malaika , ambao hawakuwa na matamanio, ambao walifanya mazur tu na walikaa miaka sana, kwa hiyo ni utashi wake kuja kumuumba mwanadamu ambaye akampa matamanio na 'free will'.
Nakumbuka utotoni tuliaminishwa kuwa binadamu ukifa roho yako inakwenda mbinguni kisha unakwenda kuzaliwa nchi nyingine. ..[emoji1] [emoji1] [emoji1]Roho ni sehemu ya Super Natural power.
Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.
Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
[emoji120] [emoji120]Roho ni sehemu ya Super Natural power.
Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.
Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
Ila binadamu sijui tukoje kwa mfano mi naanzaje kuamini kabisa yesu mungu[emoji15] mungu hawezi kuwa na mfano wa kushinda kijiweni kutengeneza vitanda au makochi maana alikuwa seremala...anakula na ukila lazima ujisaidie...na mambo mengi kama binadamu kamili...mungu hawezi kujidhalilisha vile msalabani kisa tu wanadamu wamuamini...yaani haingii akilini hata kidogo Bali naamini alikuwa nabii kama manabii wengine wa mungu baba waliotangulia kabla yake.Yesu Si Mungu. Na hawezi kuwa Mungu.
Mungu haonekani hivyo hana mfano.
Hizo nyingine ni simulizi.
Hakuna sababu inayofanya Yesu Awe Mungu Mkuu
are you sure? Do you know Quran is the only book in the face of the earth that is pure, without contradictions and a criteria to judge right and wrong?This fellow is simply ignorant of many things, whetever he said about soul is stark nonsense. He is fallacious in his arguments. Quran is just a story book,
nimekusoma inaonekana una tatizo kama la huyu kijana ambalo limejibiwa vizuri na Dr. Zakir NaikUkishajibu "ni utashi wake", kimsingi umesema hujui sababu.
Ukishajibu hujui sababu, umeshakubali humuelewi Mungu unayesema yupo.
Ukishasemahumuelewi Mungu unayesema yupo, kimsingi unaweza kuwa unaamini Mungu yupo wakati hayupo.
Huwezi kumuelezea. Wengine watasema huwezikumuelezea kwa sababu hayupo, haelezeki.
Utajuaje Mungu huyo usiyemjua, yupo, na Mungu wa uongo ambaye humjui kwa sababu ni wa uongo na hayupo, hayupo?
Masahihisho kidogo. Sio nabii Nathan, bali ni nabii Samuel. Na maandiko hayasemi kuwa roho iliyoongea na Sauli ilukuwa ya shetani. Alikuwa ni Samweli mwenyewe. Fuata maandiko yanavyosema, sio mawazo ya watu wa theolojia.Kutokans na upotoshaji huo wa Shetani ndio maana hata Mfalme Sauli alimuendea yule mama mchawi wa Endor akimuomba amuinulie Nathan Nabii. Ni kweli yule mama mchawi wa Endor alimuinua 'Nathan' na aliweza kumtabiria Sauli kuwa yeye na watoto wake wangekufa kesho yake. Jambo hilo ni kweli lilitokea kwani Sauli aliuawa yeye na Watoto wake kama vile 'Nathan'alivyomtabiria.
Hata hivyo ambacho Mfalme Sauli hakufahamu ni kuwa yule aliyemuona hakuwa Nathan bali ni roho wa Shetani aliyevaa umbo la Nathan. Nabii Nathan alishakufa kitambo na pia roho wa Bwana alishamuacha Sauli.
Hujajibu swali, na huyo Dr. siwezi kuangalia video yake sasa hivi.nimekusoma inaonekana una tatizo kama la huyu kijana ambalo limejibiwa vizuri na Dr. Zakir Naik
unayasema haya kwa kuelewa? Yesu mwenyewe Kasema yeye ni binaadam!!! wewe unataka kumwita nani?Na pia Yesu sio binadamu kwa maana hakuzaliwa kwa mimba iliotungwa kwa sex ya mke na mume,,,,Yesu aliingia kwenye tumbo la mwanamke kwa nguvu isioonekana na lengo lilikuwa kuuvaa mwili tu sio kutokea kama binadamu wengine..Kwa hiyo Kusema Yesu ni binadamu ni uvivu wa kufikiri,,upumbavu na dharau isio na mashiko yoyote.
Kila mmoja ni mchunga na kila nafsi itaulizwa ilichochunga Quran. Hoja yako haina nguvu kwa mstari huo hapo juu. Mungu anaumba apendavyo na si upendavyo wewe na Mimi. Ndo maana tunakufa japo hakuna binadamu anayependa kufa ila hatuna budi kwasababu hatuna mamlaka.Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Na pia Yesu sio binadamu kwa maana hakuzaliwa kwa mimba iliotungwa kwa sex ya mke na mume,,,,Yesu aliingia kwenye tumbo la mwanamke kwa nguvu isioonekana na lengo lilikuwa kuuvaa mwili tu sio kutokea kama binadamu wengine..Kwa hiyo Kusema Yesu ni binadamu ni uvivu wa kufikiri,,upumbavu na dharau isio na mashiko yoyote.
Umehubiri, hujajibu swali.Kila mmoja ni mchunga na kila nafsi itaulizwa ilichochunga.Quran.Hoja yako haina nguvu kwa mstari huo hapo juu.Mungu anaumba apendavyo na si upendavyo wewe na Mimi.Ndo maana tunakufa japo hakuna binadamu anayependa kufa ila hatuna budi kwasababu hatuna mamlaka.
Kila nafsi itaonja umauti,kifo ni mlango kila mmoja lazima apite,Kifo ni kinywaji kila mtu lazima akinywe, Ukisoma hiyo mistari kwa umakini kutoka katika Quran utagunduwa ni kauli za command kwetu sisi kutoka kwa Mungu.
Mungu anaumba apendavyo.Full stopUmehubiri, hujajibu swali.
Swali bado linasimama, kwa kuwa halijajibiwa.
Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Hujajibu swali.
Utajuaje kwamba Mungu anaumba apendavyo na si kwamba hayupo umedanganywa tu ikiwa huwezi hata kuelezea kwa nini kapenda ubaya uwezekane badala ya kupenda ubaya usiwezekane?Mungu anaumba apendavyo.Full stop