ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 103
- Thread starter
- #101
Mungu alishaumba malaika , ambao hawakuwa na matamanio, ambao walifanya mazur tu na walikaa miaka sana, kwa hiyo ni utashi wake kuja kumuumba mwanadamu ambaye akampa matamanio na 'free will'.Hujajibu swali langu, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao kuna uzuri lakini ubaya haupo na hauwezekani kuwepo?
Hili ndilo swali langu, ambalo hujalijibu.