Roho ya CCM inaning'nia kwenye uzi ulioshikiliwa na Jeshi la Polisi

Sasa kama 1995 tulikuwa na Wabunge 5 wa kuchaguliwa na Leo tunaye mmoja tu, itakuwaje siyo mbali tunakoenda?
Sababu ya wabunge wa upinzani kupungua zinajulikana na ndizo tunazozijadili
 
Siku wakitambua hilo ndio mwanzo wa kupaa maendeleo ya taifa letu.
 
CCM ilishakoma kuwa chama cha siasa na kubaki kuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wake wa kidhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…