Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Pesa na madaraka havichoshi.Viongozi nao huchoka
Nani asiyetaka mavieite ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa na madaraka havichoshi.Viongozi nao huchoka
Sasa kama 1995 tulikuwa na Wabunge 5 wa kuchaguliwa na Leo tunaye mmoja tu, itakuwaje siyo mbali tunakoenda?Sio leo lakini sio mbali kama unavyotaka iwe
Sababu ya wabunge wa upinzani kupungua zinajulikana na ndizo tunazozijadiliSasa kama 1995 tulikuwa na Wabunge 5 wa kuchaguliwa na Leo tunaye mmoja tu, itakuwaje siyo mbali tunakoenda?
Mnajadili miaka Yote Bila kuchukua hatua 😂Sababu ya wabunge wa upinzani kupungua zinajulikana na ndizo tunazozijadili
Mnajadili miaka Yote Bila kuchukua hatua 😂Sababu ya wabunge wa upinzani kupungua zinajulikana na ndizo tunazozijadili
Mnajadili miaka Yote Bila kuchukua hatua 😂Sababu ya wabunge wa upinzani kupungua zinajulikana na ndizo tunazozijadili
Unasubiri nani achukue hatuaMnajadili miaka Yote Bila kuchukua hatua 😂
Wanaopungukiwa Wabunge 😂Unasubiri nani achukue hatua
Siku wakitambua hilo ndio mwanzo wa kupaa maendeleo ya taifa letu.Usiporuhusu ushindani kwenye biashara yako huwezi kujua ubora wa bidhaa zako kwenye soko, vile vile usiporuhusu uchaguzi huru huwezi kujua kama wananchi bado wanakiunga mikono chama chako.
Imagine Simba aikimbie Yanga kwenye mechi na mwisho wa ligi Yanga atangazwe bingwa, au Azam TV aikimbie ITV mwisho wa siku atambe yeye ni Superbrand.
Kumuengua au kumkimbia mpinzani wako ni dalili za uoga na kuishiwa mbinu.
Siku jeshi litakapotambua majukumu yake kwa wananchi ndipo utakapokuwa mwisho wa CCM kwa sababu haitakuwa na base yeyote kwa wananchi.
CC. Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Huyo ndio wale wale choice,Luca,Etweege,John.....Unasubiri nani achukue hatua
awaulize akina alexander mkuu, hitler, stalin, caesar et al.Kila kitu kina mwisho wake wewe