Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

yaan leo umenigusa mazima,mm nachukiwa na kila mtu,kuanzia familia, mtaani,wanafunzi niliosoma nao advance level na wachuo wenzangu tuliosoma nao wote wamenitenga,lkn hakuna sababu yyt.

kazi nikipata haipiti mwaka nachukiwa na maboss natafutiwa sababu nafukuzwa bila sababu za msingi

napata tabu ya kisaikolojia,naishia kubadilisha njia kila siku kwasababu ya infiriority complex

sasa nimebaki na wife naye akinitenga nimekwisha.

nisaidieni nijinasue na hali hii
 
Kumbe chumvi ni dawa eeenhe
 
Fuata ushauri niliotoa kwenye hii mada... Utaona maajabu, na ni tiba rahisi isiyo na gharama wala viapo na ushirikina
 
Yaani natamani day moja japo nikuone kaka
 
Mshana kote umeenda sawa ila mwishoni mbona umeipa chumvi nguvu sana?
Pastor Mshana
 
Inasaidia sana
Haina gharama
Ni rahisi kupatikana
Haina maagano
Haina viapo

Nimeletewa chumvi na bi mkubwa anasema inatoa mikosi kama ni biashara nitauza sana
Chumvi ya miambani huko nimesita kutumia
Unasemaje hapo niitumie au hii itakuwa sio pia?
 
Nimeletewa chumvi na bi mkubwa anasema inatoa mikosi kama ni biashara nitauza sana
Chumvi ya miambani huko nimesita kutumia
Unasemaje hapo niitumie au hii itakuwa sio pia?
Hiyo ni kiboko... Chumvi ya miamba ni fursa nyingine ya biashara ila angalia usipige ndefu sana.... Tumia bila shaka... UTANIAMBIA
 
Hiyo ni kiboko... Chumvi ya miamba ni fursa nyingine ya biashara ila angalia usipige ndefu sana.... Tumia bila shaka... UTANIAMBIA

Duh nimeletewa ila nikaona kama uchawi huu sasa
Okei ngoja niitumie
Hapana nimeletewa kipande tu mkuu sina ya kuuza
 
Hiyo ni kiboko... Chumvi ya miamba ni fursa nyingine ya biashara ila angalia usipige ndefu sana.... Tumia bila shaka... UTANIAMBIA

Magadi na chumvi ni vitu viwili tofauti sio?
 
Duh nimeletewa ila nikaona kama uchawi huu sasa
Okei ngoja niitumie
Hapana nimeletewa kipande tu mkuu sina ya kuuza
Kitumie kisha mwambie bi mkubwa akuletee vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…