Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Mshana naomba tuwasiliane pm nina tatizo naomba msaada wakoKama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo.. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki... Ni jambo baya na lenye kutatiza mno... Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI
Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka... Huwezi kupendwa na kila mtu.. Ni lazima haters wawepo... Ni watu wasiokupenda tu... Na huweza hata kujenga uadui mkubwa na wewe
Pia sizungumzii ishu za kisiasa, umaarufu, mali, mafanikio na uongozi... Kwakuwa hapa kuna watu automatically hawapendi kuwaona wengine wana maisha mengine positive tofauti na wao.. Kushindwa kwako ndio furaha yao.... Kadiri unavyofanikiwa kimaisha ndio maadui huongezeka.. Kwahiyo singumzii kwa muktadha huu pia
Nazungumzia kuhusu wale ambao kiasili bila kujali kama wanacho ama hawana.. Ni watu wenye nyota iliyofifia ama kufa kabisa... Hawapendwi at the first place... Hata kama hawajaongea chochote, hata kama hawajafanya chochote... Kwa mfano unafika mahali penye mkusanyiko wa watu... Mara zinapigwa kelele za mwizi bila hata hujajua nini kimetokea unakuwa mtuhumiwa wa kwanza... Anakuja chizi mahali mko wengi lakini anakunasa kibao wewe... Mnapita mahali kuna mbwa anawaacha wengine wote na kukuandama wewe.. Yaani ni karaha mwanzo mwisho
Hakuna kitu kinachokosa chanzo... Ama asili.... Mimba zinapotungwa huwa kuna vita ya kumgombea kiumbe atakayezaliwa.. Hapa kuna nguvu hasi na nguvu chanya.. Hii hutokea pia wakati wa kujifungua... Hii vita hutokea sehemu hizo mbili... Kumbuka mada ya manii zilizokosea njia, je kuna mimba za bahati mbaya?
Nguvu chanya ndio yenye nguvu zaidi, ni uumbaji uliokusudiwa na Maulana, ndio uumbaji wa nyota inayowaka lakini shetani na mawakala wake( wanga, wachawi na mabaradhuli) hupenda kufanya shindano na Maulana.. Kumbuka alishafanya hivyo pale Eden basi tambua hata leo hii anaendelea hajaacha
Hapo sasa kuna mambo mawili nyota yako inaweza kuwaka kwa njia chanya.. Utapendwa na karibia kila mtu kwa upole ucheshi, huruma, kujitoa kwako nk nk... Nyota yako ikiwaka kwa njia hasi utaogopeka na kila mmoja kwa matendo yako mabaya ya kikatili ya kutisha na ya kibaradhuli kabisa... Sasa nyota yako ikisimama kwenye 0 yaani sio hasi wala sio chanya ndio roho ya kukataliwa inapozaliwa... Yaani shetani alijaribu kukupoka kwenye chanya lakini akaishia kukuangusha njiani... Hapo ni tabu tupu
Sasa basi kama nilivyoeleza hapo juu shetani na mawakala wake daima ni watu wa mashindano... Hivyo akikukosa wakati wa kutungwa mimba, akikukosa wakati wa kuzaliwa, akikukosa wakati wa makuzi atakutafuta tu popote mpaka akupate! KIAJE!?
1. Kipindi cha balehe... Unapoingia hatua ya ukubwani.. Hatua ya kujitambua... Unaanza kutafakari maisha yako ya nyuma , wazazi ama walezi au ndugu waliokukuza.. Unaingalia jamii na kuhisi kutengwa... Hapa ukikosea tu na kumpa shetani nafasi umekwenda na maji.. Ataanza kukuonyesha vitu vidogo vidogo mno.. Atakuonyesha kuwa nyumbani hupendwi kama fulani, shuleni mwalimu fulani hakupendi... Marafiki nao unahisi hivyo hivyo... Taratibu unaanza kujichukia na kujiona hufai.. Unajenga inferiority complex, unajitenga na jamii na tayari roho ya kukataliwa inazaliwa...
Wazazi na walezi... Tuwe makini sana na hatua hii kwa vijana wetu.. Tuwasaidie waweze kuivuka salama...
2. Baada ya balehe ni kipindi cha ndoto nyingi... Kuota mafanikio, kuota umaarufu, kuota utajiri, kupendwa nknk... Hapa napo shetani hachezi mbali.. Ataanza kukuonyesha agemate wako walivyo na maisha mazuri na mafanikio... Na sometimes sio kwamba uko vibaya bali ni ile roho ya kutaka zaidi... Hapa sasa ndio unaingizwa rasmi kwenye ulimwengu wa maagano ya kuboost nyota bila kujua
Hiki ndio kipindi cha kutafuta ndele ya mvuto kwenye mapenzi, Pete za bahati, hirizi za mafanikio.. Wataalam wa kusafisha nyota nknk... Ukikubali kuuingia huu mkenge UMEKWISHA... utaenda kwa mganga kutafuta ndele.. Hakwambii madhara anakupa tuu.. Utaanza kuwa na mvuto utapendwa na kila mwanamke kuanzia chizi mbaya mzuri mlemavu mrefu kwenda chini, kipipa nknk wote watakuwa wako mpaka unakereka.. Ila mganga kakuficha kitu kimoja... Ndele ina life span.. Ikiisha utachukiwa mpaka na siafu.. Mapete ya bahati, hirizi za mafanikio, kusafisha nyota vyote hivi vina kikomo cha matumizi
3. Maisha ya ukubwani sasa... Hapa umepambana na changamoto za maisha umefeli na kufaulu... Umepita kwingi na kufanya mengi.. Umeshawahi kujaribu hata option no 2 ya mapete na mahirizi na kusafisha nyota.. Ukapata mafanikio ya muda.. Lakini baadae ukaanguka vibaya kabisa... Kwa Neema tu ukaweza kusimama tena sasa unataka kurudi hewani... Hapa hutaki tena njia ya giza...unataka njia ya nuru lakini kumbuka shetani bado yuko nawe hakuachi
Badala ya kukuacha uende njia sahihi.. Anakuelekeza kwa mitume na manabii wanakohubiri mafanikio na utajiri wa vitu viharibikavyo... Unarudi kule kule kwa wapiga ramli na waganga wasafisha nyota.. Unauziwa maji ya baraka vitambaa nk.. Unaanza kuhangaika kwenye masinagogi ya hawa watu na mwisho unakufa bila kupata ulichotarajia
Rafiki mpendwa pambana na hali yako, usimwache muumba wako hata nukta moja.. Hakuna binadamu aliyezaliwa na mwanamke anaweza kusafisha nyota yako ikasafishika milele.. HAKUNA.. hakuna mganga atakayeweza kukupa mafanikio yasiyo na maagano HAKUNA... hakuna Pete ya bahati isiyokosa mawaa HAKUNA... jaribu kuivua siku moja uone shughuli yake...
Usifuate mkumbo ila kama ukiona mambo hayaendi na kweli kabisa unajiona wewe mwenyewe una roho ya kukataliwa.. Basi simama na Mungu wako kwa imani yako huku ukijitakasa na chumvi... Ile asilia.. Chumvi haina gharama. Chumvi haina maagano.. Chumvi haina madhara... Itumie kawaida kwa kuogea ni chaja bora isiyochuja
Nakuombea....!!!
Jr[emoji769][emoji770] [emoji770] [emoji770] future pastor
Karibu bila shakaKaka Mshana naomba tuwasiliane pm nina tatizo naomba msaada wako
Dah aisee mkuu hii mada umeniongelea mimi kabisa yaani yote uliyoyaelezea humu yamenitokea.Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo.. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki... Ni jambo baya na lenye kutatiza mno... Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI

sawa nitafanya hivyo mkuu,kuna kipindi nilijaribu kuitumia chumvi kwa wiki niliona changes fulani za kutafutwa na watu yaani simu hazikauki lakini baada ya mwezi inarudi tena hali yangu ya nyuma sijajua kwa niniHebu piga therapy ya chumvi mwezi mzima utaniambia
Endelea usiache pia soma na hii itakusaidiasawa nitafanya hivyo mkuu,kuna kipindi nilijaribu kuitumia chumvi kwa wiki niliona changes fulani za kutafutwa na watu yaani simu hazikauki lakini baada ya mwezi inarudi tena hali yangu ya nyuma sijajua kwa nini
Na hii piasawa nitafanya hivyo mkuu,kuna kipindi nilijaribu kuitumia chumvi kwa wiki niliona changes fulani za kutafutwa na watu yaani simu hazikauki lakini baada ya mwezi inarudi tena hali yangu ya nyuma sijajua kwa nini
Na hii pia
CD4 za Maisha zinaposhuka!
Wengi naamini bado mnakumbuka mada ya kinga za kiroho, haina tofauti sana na hii na haina tofauti na kinga za kimwili.... Kinga za kimwili zilizozalisha kitu kinachoitwa UKIMWI... UKIMWI sio ugonjwa, UKIMWI sio maradhi.... Ugonjwa/magonjwa ni kiambishi cha maradhi... Tafsiri ya UKIMWI ni...www.jamiiforums.com
CD4 za Maisha zinaposhuka!
Muamini Yesu awe Bwana na Mokozi wa maisha yako.Nina mawazo ya kwenda kwa mganga , ushauri. Mana kila jambo nalofanya nakwama, Nitumie Mbinu gani mbadala ,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijakutana na hii. Nimejifunza kitu. Ubarikiwe Sana mkuuKama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo.. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki... Ni jambo baya na lenye kutatiza mno... Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI
Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka... Huwezi kupendwa na kila mtu.. Ni lazima haters wawepo... Ni watu wasiokupenda tu... Na huweza hata kujenga uadui mkubwa na wewe
Pia sizungumzii ishu za kisiasa, umaarufu, mali, mafanikio na uongozi... Kwakuwa hapa kuna watu automatically hawapendi kuwaona wengine wana maisha mengine positive tofauti na wao.. Kushindwa kwako ndio furaha yao.... Kadiri unavyofanikiwa kimaisha ndio maadui huongezeka.. Kwahiyo singumzii kwa muktadha huu pia
Nazungumzia kuhusu wale ambao kiasili bila kujali kama wanacho ama hawana.. Ni watu wenye nyota iliyofifia ama kufa kabisa... Hawapendwi at the first place... Hata kama hawajaongea chochote, hata kama hawajafanya chochote... Kwa mfano unafika mahali penye mkusanyiko wa watu... Mara zinapigwa kelele za mwizi bila hata hujajua nini kimetokea unakuwa mtuhumiwa wa kwanza... Anakuja chizi mahali mko wengi lakini anakunasa kibao wewe... Mnapita mahali kuna mbwa anawaacha wengine wote na kukuandama wewe.. Yaani ni karaha mwanzo mwisho
Hakuna kitu kinachokosa chanzo... Ama asili.... Mimba zinapotungwa huwa kuna vita ya kumgombea kiumbe atakayezaliwa.. Hapa kuna nguvu hasi na nguvu chanya.. Hii hutokea pia wakati wa kujifungua... Hii vita hutokea sehemu hizo mbili... Kumbuka mada ya manii zilizokosea njia, je kuna mimba za bahati mbaya?
Nguvu chanya ndio yenye nguvu zaidi, ni uumbaji uliokusudiwa na Maulana, ndio uumbaji wa nyota inayowaka lakini shetani na mawakala wake( wanga, wachawi na mabaradhuli) hupenda kufanya shindano na Maulana.. Kumbuka alishafanya hivyo pale Eden basi tambua hata leo hii anaendelea hajaacha
Hapo sasa kuna mambo mawili nyota yako inaweza kuwaka kwa njia chanya.. Utapendwa na karibia kila mtu kwa upole ucheshi, huruma, kujitoa kwako nk nk... Nyota yako ikiwaka kwa njia hasi utaogopeka na kila mmoja kwa matendo yako mabaya ya kikatili ya kutisha na ya kibaradhuli kabisa... Sasa nyota yako ikisimama kwenye 0 yaani sio hasi wala sio chanya ndio roho ya kukataliwa inapozaliwa... Yaani shetani alijaribu kukupoka kwenye chanya lakini akaishia kukuangusha njiani... Hapo ni tabu tupu
Sasa basi kama nilivyoeleza hapo juu shetani na mawakala wake daima ni watu wa mashindano... Hivyo akikukosa wakati wa kutungwa mimba, akikukosa wakati wa kuzaliwa, akikukosa wakati wa makuzi atakutafuta tu popote mpaka akupate! KIAJE!?
1. Kipindi cha balehe... Unapoingia hatua ya ukubwani.. Hatua ya kujitambua... Unaanza kutafakari maisha yako ya nyuma , wazazi ama walezi au ndugu waliokukuza.. Unaingalia jamii na kuhisi kutengwa... Hapa ukikosea tu na kumpa shetani nafasi umekwenda na maji.. Ataanza kukuonyesha vitu vidogo vidogo mno.. Atakuonyesha kuwa nyumbani hupendwi kama fulani, shuleni mwalimu fulani hakupendi... Marafiki nao unahisi hivyo hivyo... Taratibu unaanza kujichukia na kujiona hufai.. Unajenga inferiority complex, unajitenga na jamii na tayari roho ya kukataliwa inazaliwa...
Wazazi na walezi... Tuwe makini sana na hatua hii kwa vijana wetu.. Tuwasaidie waweze kuivuka salama...
2. Baada ya balehe ni kipindi cha ndoto nyingi... Kuota mafanikio, kuota umaarufu, kuota utajiri, kupendwa nknk... Hapa napo shetani hachezi mbali.. Ataanza kukuonyesha agemate wako walivyo na maisha mazuri na mafanikio... Na sometimes sio kwamba uko vibaya bali ni ile roho ya kutaka zaidi... Hapa sasa ndio unaingizwa rasmi kwenye ulimwengu wa maagano ya kuboost nyota bila kujua
Hiki ndio kipindi cha kutafuta ndele ya mvuto kwenye mapenzi, Pete za bahati, hirizi za mafanikio.. Wataalam wa kusafisha nyota nknk... Ukikubali kuuingia huu mkenge UMEKWISHA... utaenda kwa mganga kutafuta ndele.. Hakwambii madhara anakupa tuu.. Utaanza kuwa na mvuto utapendwa na kila mwanamke kuanzia chizi mbaya mzuri mlemavu mrefu kwenda chini, kipipa nknk wote watakuwa wako mpaka unakereka.. Ila mganga kakuficha kitu kimoja... Ndele ina life span.. Ikiisha utachukiwa mpaka na siafu.. Mapete ya bahati, hirizi za mafanikio, kusafisha nyota vyote hivi vina kikomo cha matumizi
3. Maisha ya ukubwani sasa... Hapa umepambana na changamoto za maisha umefeli na kufaulu... Umepita kwingi na kufanya mengi.. Umeshawahi kujaribu hata option no 2 ya mapete na mahirizi na kusafisha nyota.. Ukapata mafanikio ya muda.. Lakini baadae ukaanguka vibaya kabisa... Kwa Neema tu ukaweza kusimama tena sasa unataka kurudi hewani... Hapa hutaki tena njia ya giza...unataka njia ya nuru lakini kumbuka shetani bado yuko nawe hakuachi
Badala ya kukuacha uende njia sahihi.. Anakuelekeza kwa mitume na manabii wanakohubiri mafanikio na utajiri wa vitu viharibikavyo... Unarudi kule kule kwa wapiga ramli na waganga wasafisha nyota.. Unauziwa maji ya baraka vitambaa nk.. Unaanza kuhangaika kwenye masinagogi ya hawa watu na mwisho unakufa bila kupata ulichotarajia
Rafiki mpendwa pambana na hali yako, usimwache muumba wako hata nukta moja.. Hakuna binadamu aliyezaliwa na mwanamke anaweza kusafisha nyota yako ikasafishika milele.. HAKUNA.. hakuna mganga atakayeweza kukupa mafanikio yasiyo na maagano HAKUNA... hakuna Pete ya bahati isiyokosa mawaa HAKUNA... jaribu kuivua siku moja uone shughuli yake...
Usifuate mkumbo ila kama ukiona mambo hayaendi na kweli kabisa unajiona wewe mwenyewe una roho ya kukataliwa.. Basi simama na Mungu wako kwa imani yako huku ukijitakasa na chumvi... Ile asilia.. Chumvi haina gharama. Chumvi haina maagano.. Chumvi haina madhara... Itumie kawaida kwa kuogea ni chaja bora isiyochuja
Nakuombea....!!!
Jr[emoji769][emoji770] [emoji770] [emoji770] future pastor
Hii ishu ya kuibiwa nyota ina mkanganyiko mkubwa na uhalisia wake una walakini mkubwa...lakini kwa kujibu swali lako kama imeibiwa itarudi tu na nguvu yake itabaki kuwa ileileHivi mtu akikuibia nyota akaenda kutumia akapata mafanikio huwa hairudi?
Na Je, kama ikirudi bado itakuwa na Nguvu ile ile kama iliyokuwa nayo mwanzo wakati inaibiwa, au itakuwa imefubaa baada ya kurudi?
Bro Mshana umeongelea swala la kuibiwa nyota nimekumbuka kitu. Mimi nilikuwa ni mtu mwenye bahati sana miaka ya nyuma yaani nazungumzia bahati ya kupendwa na watu, ya kushinda bahati nasibu bahati ya maisha yani maisha yalikuwa yamenyooka. ila tangu nikutane na baba wa mtoto wangu wa kwanza (sasa hivi nimeolewa na mtu mwingine) mambo yangu yakaanza kuharibika kila nifanyalo haliendi madeni yakaanza alafu yeye maisha yake ndo yamekuwa mazuri wakati mwanzo hayakuwa hivyo, najiuliza ameniibia nyota yangu? na je nikitumia chumvi kuoga itarudi?Hii ishu ya kuibiwa nyota ina mkanganyiko mkubwa na uhalisia wake una walakini mkubwa...lakini kwa kujibu swali lako kama imeibiwa itarudi tu na nguvu yake itabaki kuwa ileile