Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #181
Tumia chumvi lakini pia nyota yako imevutwa na yake ndio maana yeye kasimama zaidi na wewe umetingishwaBro Mshana umeongelea swala la kuibiwa nyota nimekumbuka kitu. Mimi nilikuwa ni mtu mwenye bahati sana miaka ya nyuma yaani nazungumzia bahati ya kupendwa na watu, ya kushinda bahati nasibu bahati ya maisha yani maisha yalikuwa yamenyooka. ila tangu nikutane na baba wa mtoto wangu wa kwanza (sasa hivi nimeolewa na mtu mwingine) mambo yangu yakaanza kuharibika kila nifanyalo haliendi madeni yakaanza alafu yeye maisha yake ndo yamekuwa mazuri wakati mwanzo hayakuwa hivyo, najiuliza ameniibia nyota yangu? na je nikitumia chumvi kuoga itarudi?