Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

Can you tell me a little bit about that Human Invisible Sense Organ?
 
1. Ni tiba ya kishirikina
2. Ni tiba yenye imani ndani yake

Duh nimeingia cha kike[emoji22] hio ya kwanza jamaa walifanya kisomo halafu wakanyanyuka na kuanza kunizunguka huku wakinitupia nafaka halafu wakazichukuwa na kuwapa kuku. Sikujua kama hivyo Mwenyezi Mungu anisamehe.

Naomba ufafanue imani ndani yake?? Unamaanisha nini[emoji15]
 
Imani ya kidini
Screenshot_20211022-152029.jpg
 
Kuna tiba za asili/mitishamba
Kuna tiba za maombi na dua
Kuna tiba za kisuna
Kuna tiba za kitabu
Kuna tiba za tunguli
Kuna tiba za majini mizimu na kafara
Kufukizwa na chale nayo ipo kwenye kundi gani? .. maana nilipokuwa mdogo sana niliwahi kuumwa ghafla na nikapelekwa kwa mzee mmoja hivi akanichemshia dawa ilinifukizwe na chale. Sikuona tunguli wala hirizi
 
Kimila na kishirikina
 
Mshana Jr
Nichukue hatua gani ili nijitoe katika vifungo vya kichawi, wanga wamenifunga ili nisipige hatua wala kufanikiwa

Nilianza kuhisi hisia Mbaya tangia mwaka Jana, ila nilikaza shingo na kupambana bila mafanikio, nakosa goli hata nikimpa chenga kipa na goli kubaki wazi. Hata nikipiga shuti kwenye goal line bado nakosa goli.

Sasa hapa nikaamua kuwa uliza wajuzi wa mambo , wakasema wanga wamefanga mambo Yao. Lakini kabla ya kuwauliza watalamu wa mambo , nimefuatilia vitabu mbali mbali na dalili za kupigwa juju, ambazo nikaziona kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr
Nichukue hatua gani ili nijitoe katika vifungo vya kichawi, wanga wamenifunga ili nisipige hatua wala kufanikiwa,
Nilianza kuhisi hisia Mbaya tangia mwaka Jana, ila nilikaza shingo na kupambana bila mafanikio, nakosa goli hata nikimpa chenga kipa na goli kubaki wazi. Hata nikipiga shuti kwenye goal line bado nakosa goli.
Sasa hapa nikaamua kuwa uliza wajuzi wa mambo , wakasema wanga wamefanga mambo Yao. Lakini kabla ya kuwauliza watalamu wa mambo , nimefuatilia vitabu mbali mbali na dalili za kupigwa juju, ambazo nikaziona kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakurudia
 
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI.

Mind you sizungumzii ile kuchukiwa na mtu mmoja mmoja kwa sababu zisizoeleweka. Huwezi kupendwa na kila mtu.. Ni lazima haters wawepo. Ni watu wasiokupenda tu. Na huweza hata kujenga uadui mkubwa na wewe.

Pia sizungumzii ishu za kisiasa, umaarufu, mali, mafanikio na uongozi. Kwakuwa hapa kuna watu automatically hawapendi kuwaona wengine wana maisha mengine positive tofauti na wao. Kushindwa kwako ndio furaha yao. Kadiri unavyofanikiwa kimaisha ndio maadui huongezeka.. Kwahiyo singumzii kwa muktadha huu pia.

Nazungumzia kuhusu wale ambao kiasili bila kujali kama wanacho ama hawana.. Ni watu wenye nyota iliyofifia ama kufa kabisa... Hawapendwi at the first place... Hata kama hawajaongea chochote, hata kama hawajafanya chochote... Kwa mfano unafika mahali penye mkusanyiko wa watu.

Mara zinapigwa kelele za mwizi bila hata hujajua nini kimetokea unakuwa mtuhumiwa wa kwanza... Anakuja chizi mahali mko wengi lakini anakunasa kibao wewe... Mnapita mahali kuna mbwa anawaacha wengine wote na kukuandama wewe.. Yaani ni karaha mwanzo mwisho.

Hakuna kitu kinachokosa chanzo... Ama asili.... Mimba zinapotungwa huwa kuna vita ya kumgombea kiumbe atakayezaliwa.. Hapa kuna nguvu hasi na nguvu chanya.. Hii hutokea pia wakati wa kujifungua... Hii vita hutokea sehemu hizo mbili... Kumbuka mada ya manii zilizokosea njia, je kuna mimba za bahati mbaya?

Nguvu chanya ndio yenye nguvu zaidi, ni uumbaji uliokusudiwa na Maulana, ndio uumbaji wa nyota inayowaka lakini shetani na mawakala wake( wanga, wachawi na mabaradhuli) hupenda kufanya shindano na Maulana.. Kumbuka alishafanya hivyo pale Eden basi tambua hata leo hii anaendelea hajaacha.

Hapo sasa kuna mambo mawili nyota yako inaweza kuwaka kwa njia chanya.. Utapendwa na karibia kila mtu kwa upole ucheshi, huruma, kujitoa kwako nk nk... Nyota yako ikiwaka kwa njia hasi utaogopeka na kila mmoja kwa matendo yako mabaya ya kikatili ya kutisha na ya kibaradhuli kabisa.

Sasa nyota yako ikisimama kwenye 0 yaani sio hasi wala sio chanya ndio roho ya kukataliwa inapozaliwa... Yaani shetani alijaribu kukupoka kwenye chanya lakini akaishia kukuangusha njiani... Hapo ni tabu tupu.

Sasa basi kama nilivyoeleza hapo juu shetani na mawakala wake daima ni watu wa mashindano... Hivyo akikukosa wakati wa kutungwa mimba, akikukosa wakati wa kuzaliwa, akikukosa wakati wa makuzi atakutafuta tu popote mpaka akupate! KIAJE!?

1. Kipindi cha balehe... Unapoingia hatua ya ukubwani.. Hatua ya kujitambua... Unaanza kutafakari maisha yako ya nyuma , wazazi ama walezi au ndugu waliokukuza.. Unaingalia jamii na kuhisi kutengwa... Hapa ukikosea tu na kumpa shetani nafasi umekwenda na maji.. Ataanza kukuonyesha vitu vidogo vidogo mno.. Atakuonyesha kuwa nyumbani hupendwi kama fulani, shuleni mwalimu fulani hakupendi... Marafiki nao unahisi hivyo hivyo... Taratibu unaanza kujichukia na kujiona hufai.. Unajenga inferiority complex, unajitenga na jamii na tayari roho ya kukataliwa inazaliwa.

Wazazi na walezi... Tuwe makini sana na hatua hii kwa vijana wetu.. Tuwasaidie waweze kuivuka salama...

2. Baada ya balehe ni kipindi cha ndoto nyingi... Kuota mafanikio, kuota umaarufu, kuota utajiri, kupendwa nknk... Hapa napo shetani hachezi mbali.. Ataanza kukuonyesha agemate wako walivyo na maisha mazuri na mafanikio... Na sometimes sio kwamba uko vibaya bali ni ile roho ya kutaka zaidi... Hapa sasa ndio unaingizwa rasmi kwenye ulimwengu wa maagano ya kuboost nyota bila kujua
Hiki ndio kipindi cha kutafuta ndele ya mvuto kwenye mapenzi, Pete za bahati, hirizi za mafanikio..

Wataalam wa kusafisha nyota nknk... Ukikubali kuuingia huu mkenge UMEKWISHA... utaenda kwa mganga kutafuta ndele.. Hakwambii madhara anakupa tuu.. Utaanza kuwa na mvuto utapendwa na kila mwanamke kuanzia chizi mbaya mzuri mlemavu mrefu kwenda chini, kipipa nknk wote watakuwa wako mpaka unakereka.. Ila mganga kakuficha kitu kimoja... Ndele ina life span.. Ikiisha utachukiwa mpaka na siafu.. Mapete ya bahati, hirizi za mafanikio, kusafisha nyota vyote hivi vina kikomo cha matumizi.

3. Maisha ya ukubwani sasa... Hapa umepambana na changamoto za maisha umefeli na kufaulu... Umepita kwingi na kufanya mengi.. Umeshawahi kujaribu hata option no 2 ya mapete na mahirizi na kusafisha nyota.. Ukapata mafanikio ya muda.. Lakini baadae ukaanguka vibaya kabisa... Kwa Neema tu ukaweza kusimama tena sasa unataka kurudi hewani... Hapa hutaki tena njia ya giza...unataka njia ya nuru lakini kumbuka shetani bado yuko nawe hakuachi.

Badala ya kukuacha uende njia sahihi.. Anakuelekeza kwa mitume na manabii wanakohubiri mafanikio na utajiri wa vitu viharibikavyo... Unarudi kule kule kwa wapiga ramli na waganga wasafisha nyota.. Unauziwa maji ya baraka vitambaa nk.. Unaanza kuhangaika kwenye masinagogi ya hawa watu na mwisho unakufa bila kupata ulichotarajia.

Rafiki mpendwa pambana na hali yako, usimwache muumba wako hata nukta moja.. Hakuna binadamu aliyezaliwa na mwanamke anaweza kusafisha nyota yako ikasafishika milele.. HAKUNA.. hakuna mganga atakayeweza kukupa mafanikio yasiyo na maagano HAKUNA... hakuna Pete ya bahati isiyokosa mawaa HAKUNA... jaribu kuivua siku moja uone shughuli yake.

Usifuate mkumbo ila kama ukiona mambo hayaendi na kweli kabisa unajiona wewe mwenyewe una roho ya kukataliwa.. Basi simama na Mungu wako kwa imani yako huku ukijitakasa na chumvi... Ile asilia.. Chumvi haina gharama. Chumvi haina maagano.. Chumvi haina madhara... Itumie kawaida kwa kuogea ni chaja bora isiyochuja.

Nakuombea.

Jr[emoji769][emoji770] [emoji770] [emoji770] future pastor
Huu uzi unanihusu hasa Hapo namba 1.aiseh ume kopi na ku paste situation!!hadi leo najua yule si Baba YANGU wa kunizaa ule msoto ulikuwa hatari Sana!!!
 
Huu uzi unanihusu hasa Hapo namba 1.aiseh ume kopi na ku paste situation!!hadi leo najua yule si Baba YANGU wa kunizaa ule msoto ulikuwa hatari Sana!!!
hadi leo najua yule si Baba YANGU wa kunizaa ule msoto ulikuwa hatari Sana!!![emoji3064][emoji15][emoji3064]
 
hadi leo najua yule si Baba YANGU wa kunizaa ule msoto ulikuwa hatari Sana!!![emoji3064][emoji15][emoji3064]
Ndio ndio!!hata Bibi alitilia mashaka mapema Sana nikiwa ndogo!!eti Hawa wengine kweli wanaonekana ni wa kwetu!lakini Huyu hapana!!!akaambiwa we pokea wajukuu tu!!!KILICHOFUATA AISEH UKOO MZIMA HAKUNA ALIEJALI KUWA YULE NAE NI MTU BINADAMU NILIACHWA HUKO HUKO SHULENI KIDATO CHA KWANZA HADI NAMALIZA HAKUNA ALIEJUA NILIWEZAJE BILA ADA WALA MATUMIZI!HADI CHUO KIKUU UDSM NILIFIKA!!NIPO KAZINI LAKINI NAKO MKUU WANGU MWANGA TU!!HATUPENDANI KI HIVYO NA HIVI AN KADIPLOMA BADALA YA MAWE KAMA YETU!!NI FULL VITUKO!!!NATAKA HUYU MKUU AONDOKE NI MWIZI,MCHAWI,MGANGA,KIJICHO,MUHUNI AISEH THE SERPENT HIMSELF!!!ACHA KABISA MSHANAR!!!NAOGEA CHUMVI SIELEWI KAMA ITANISAIDIA AU VIPI!!!
 
Weka imani kwenye hiyo tiba.. Imani ni sehemu ya uponyaji na chumvi ina nguvu sana... BTW NAKUOMBEA
 
Na Hata wale jamaal nilio ku pm majuzi ndio walinichanganya ni kama Wana roho ya utambuzi walinichana eti asili yangu ni kwa Paulo mrefu kule coz my mama ni tutsi!!!aiseh walinichanganya Sana na ukoo wakanambia ETI!!!wamenihamisha kifikra Hadi Sasa nawaza mitaa ya Gisenyi na vilima vya Ruhengeri kule!!!
Duh..[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
 
Hao wameshalikoroga Mwaga chumvi ya kutosha kisha sikilizia moto wake
Daa! Leo imenibidi ni tulie siku nzima nipitie threads zote za Mshana Jr na kuzisoma, nizingine nazicopy naziweka kwenye notebook yangu. Amenifingua sana Ufahamu wangu.
Nimejikuta najutia kwanini sikumfatilia tangu siku nyingi.
Zile jogoo na pesa nilizokuwa nahangaika kuwapelekea waganga wakienyeji eti waning'arishie nyota na wanipe mvuto wa bahati na kukubalika mbele za watu, si bora ningekuwa namrushia hata Mshana ya bando!! Baada tu ya kuanza kuchanjwa chale na waganga namatokeo yake ndo mambo yakaanza kuharibika na mpaka kufilisika mtaji wa Biashara.
Eti, Leo nimeshafulia ndo nazigundua thread za Mshana!! Mungu ni wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom