Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #201
Tiba zipo lakini kwanza ni lazima kujua chanzo na asili ya tatizo.. Maradhi ya kiroho hayana tofauti na maradhi ya kimwili ... ! Ni muhimu na ni lazima kujua tatizo ninini na limesababishwa na nini ndio upate tiba kulingana na tatizo husika.Mshana Jr nahic kuna kitu hukiweki wazi hapa na sijui kwa nini,
Binafsi naamini zipo dawa za kufungua magonjwa ya ushirikina na mtu akapona kbs.
Ingawa angalizo kwa hawa wataalamu wengi wao ni wapuuzi mno na wenye tamaa za ajabu ajabu, ndio problem maker and problem solver.
Kwenye tiba za kiroho wengi wanafeli kwakuwa wanakuwa hawana ufahamu na kutosha na asili ya tatizo hivyo hutibu kwa kubahatisha tuu