Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtag huyu tunayemkataa kwa pamoja aione tiba yako
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]sitaki kesi na mtu wanangu bado wananihitaji sana...Mtag huyu tunayemkataa kwa pamoja aione tiba yako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]sitaki kesi na mtu wanangu bado wananihitaji sana...
Mshana Jr hebu fafanua hii chumvi ndio nasikia kwa mara ya kwanza-Inafanyaje kazi . Nilimuona nabii na mtume mmoja akiuza hii kitu na aliuza sana,sema chumvi yake aliipiga rangi nyekundu[emoji40][emoji40][emoji40][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]ndugu mwishoni umemalizia na future pastor angslia usije ukawa kama pastor wetu wa konkiiii..
baada ta komenti ya kuchekesha sasa ngoja nirudi kusoma za wenzangu
Ukiweza Jaribu kutumia tiba ya chumviYaani kama umenisema mimi io kitu hata mimi muhanga wa ilo tatizo roho ya kukataliwa ipo nilitafuta kazi shule zaid ya 50 wanakwambia tutakuita hata nnapoishi madharau nikiamka napita na mambo yangu sasa kama watu wanakusema lakini uzuri sina mazoea wapo watu hufurai wakikuona una matatizo ilo nimeliona lakini Mungu anajua