Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna michuano ya kagame ilifanyika Kigali , hakuna timu iliyokuwa ikipiga chenga kama KMKM , sasa wakaja kutana na APR , kilichotokea ni noma ! Walitandikwa 8-0 .Kwa mpira upi Italy waliocheza
Hivi ligi ya uingereza ina mkosi gani jamani ?Timu zenye professionals wanaochezea EPL, hamna kitu kabisa. Anza na England yenyewe, njoo Beigium, Hispania nayo imeanza kuharibika, Brazil ndo hovyo kabisa. France kidogo ndo wana nafuu labda kwa kuwa ni wenyeji
italy na germany ndio timu pekee ulaya zenye nyota nne kwenye jezi zao...
hawa jamaa wana roho ya paka na wanacheza for results..
hawauzagi sura hawa watu..
na miaka yote hawanaga kuremba
Kama walizidiwa kila kitu kwanini waliweza kushinda magoli mawili? Au waitaliano wameshinda kwa ndumba? Mpira ni Matokeo sio mbwembweWatashindaje 5--0 wakati warizidiwa kila kitu
Wewe ni mhanga wa chenga twawala ?Watashindaje 5--0 wakati warizidiwa kila kitu