Roho ya paka Italy ilistahili kushinda 5 - 0

Roho ya paka Italy ilistahili kushinda 5 - 0

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , kwanza niwape pole sana washikaji kwa kuliwa hela zenu , taarifa zinadokeza kwamba wengi mliweka hela zenu upande wa Belgium , hata sijui kwanini ?

Kama uliangalia gemu hii utashangaa kwanini Hao vijana hawakutandikwa bao 5 ! Ni hivi , ukiona timu ina wachezaji wanaoshindana mitindo ya nywele basi anzia hapo kutafakari .

Chenga twawala haijawahi kusaidia timu yoyote .

Kwaheri Belgium .
 
Moja ya Chama Langu na Lingine ni Germany Nikaa pande za hizi Timu basi huwa nawauzi watu wengi sana pia kwa Africa upande wangu huwa ni Misri... huwa watu wanatakaga kunipiga kwa Maudhi... mimi always nakaa upande wa timu inayojua kukipiga... kwa Jihadi

Chama langu kwa Italy ni Juve na tumewakilisha vizuri sana This Night of the Champion
 
Kwa mpira upi Italy waliocheza
Kuna michuano ya kagame ilifanyika Kigali , hakuna timu iliyokuwa ikipiga chenga kama KMKM , sasa wakaja kutana na APR , kilichotokea ni noma ! Walitandikwa 8-0 .
 
Timu zenye professionals wanaochezea EPL, hamna kitu kabisa. Anza na England yenyewe, njoo Beigium, Hispania nayo imeanza kuharibika, Brazil ndo hovyo kabisa. France kidogo ndo wana nafuu labda kwa kuwa ni wenyeji
 
Timu zenye professionals wanaochezea EPL, hamna kitu kabisa. Anza na England yenyewe, njoo Beigium, Hispania nayo imeanza kuharibika, Brazil ndo hovyo kabisa. France kidogo ndo wana nafuu labda kwa kuwa ni wenyeji
Hivi ligi ya uingereza ina mkosi gani jamani ?
 
italy na germany ndio timu pekee ulaya zenye nyota nne kwenye jezi zao...

hawa jamaa wana roho ya paka na wanacheza for results..

hawauzagi sura hawa watu..


na miaka yote hawanaga kuremba

Wote wametwaa mara nne taji la Dunia.
 
Back
Top Bottom