Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ama kwa hakika ngoma ya watoto haikeshi , kwanza niwape pole sana washikaji kwa kuliwa hela zenu , taarifa zinadokeza kwamba wengi mliweka hela zenu upande wa Belgium , hata sijui kwanini ?
Kama uliangalia gemu hii utashangaa kwanini Hao vijana hawakutandikwa bao 5 ! Ni hivi , ukiona timu ina wachezaji wanaoshindana mitindo ya nywele basi anzia hapo kutafakari .
Chenga twawala haijawahi kusaidia timu yoyote .
Kwaheri Belgium .