Roho yangu

Roho yangu

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Mmeamkaje wadau wa jf?

Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje?

Watabiri nisaidieni hapo.
 
mmeamkaje wadau wa jf?. Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje? Watabiri nisaidieni hapo.
kuna mtu anaitwa JANE.....
Ashawahi kuWa rafiki yako...
na kuna kitu naona kama mtoto hivi....
aanha ni JANE ANAMIMBA
 
JF PUNGUZENI MANENO MAKALI MTANIUA [emoji1]
 
mmeamkaje wadau wa jf?. Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje? Watabiri nisaidieni hapo.
Inataka kutoka ukiona hivyo
 
Back
Top Bottom