Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmeamkaje wadau wa jf?. Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje? Watabiri nisaidieni hapo.
Hahahahahahahahahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13]Dalili ya kuteuliwa hizo.
hahaaaaDalili ya kuteuliwa hiyo.
😀😀😀😀😀😀😀😀Dalili ya kuteuliwa hiyo.
😀😀😀😀itakuwa umemeza kitenesi mkuu
Hahaaaaaaaaaa yani umenichekeshaDalili ya kuteuliwa hiyo.
kuna mtu anaitwa JANE.....mmeamkaje wadau wa jf?. Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje? Watabiri nisaidieni hapo.
hahaaa akimbie nchi mapema huyokuna mtu anaitwa JANE.....
ushawahi kuna rafiki yako...
na kuna kitu naona kama mtoto hivi....
aanha ni JANE ANAMIMBA
Inataka kutoka ukiona hivyommeamkaje wadau wa jf?. Leo nmeamka salama lkn roho inauma yaani inadunda dunda sana. kila nikitembea najikuta nastuka mwenyewe na kua na khari ya hofu hofu.. na sina tatizo lolote sa sjui inakuaje? Watabiri nisaidieni hapo.