Yani mimi moyo mweupe, nafanya jitihada za kusema nao, hata watu wazima natafuta wakwenda kuongea na mama zetu ili hii chuki iishe isiyojulikana chanzo lkn wapi hakuna hata dalili ya matatizo haya kuishi, dada mkubwa ametulia, mdogo huona vyema na kufurahi kaka yake kupata matatizo yani vurugu ni nyingi mimi kama mtoto ninaetokana na hcho kizazi najaribu kuunganisha sisi watoto wote wa wajomba na mama ili tuwe pamoja kama hyo laana itaishia kwao lkn hakuna hata anaelewa unabki kusema Mungu fanya wewe pekee sasa