Roland-Garros final Rafael Nadal vs Dominic Thiem.Tennis French Open final

Roland-Garros final Rafael Nadal vs Dominic Thiem.Tennis French Open final

Weekend yangu imekua nzuri sana. Nasubiri kesho Toronto wakamilishe furaha yangu ntakua the happiest human being alive [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Muwe na siku njema wakuu[emoji1374]
 
Dah hii game leo nimeichelewa mishe zilikua nyingi, Thiem anastahili pongezi, Djokovik jana alikiona cha moto, ila set ya nne nikampa ashinde nikamuwekea dau akanipa mshiko, yani leo ningekuwepo ningevuna kwa nadal
20190609_192449.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyo Tsitsipasi alilia ile mbaya alipotolewa na Wawarinka hakutegemea kabisa. Na ni mcheza mzuri sana ambaye kishajiamini anaweza kumfunga yeyote yule.

Anajiamini sana ni kitu muhimu sana kwenye tennis kujiamini. Halafu ana kocha mzuri sana Patrick, kocha wa Serena Williams. Coach Patrick namuaminia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmm! Sikujua kama wanashare kocha na Serena. For sure in the near future he’ll be number 1 player in the World. Halafu wote wameongea vizuri na kupeana compliments za kutosha.

Anajiamini sana ni kitu muhimu sana kwenye tennis kujiamini. Halafu ana kocha mzuri sana Patrick, kocha wa Serena Williams. Coach Patrick namuaminia.
 
Alifanyiwa hip operesheni January mwaka huu mara tu baada ya Australia Open. Atacheza double na mdogo wake Wimbledon nadhani ni kutest kama ataweza kurudi au abwage manyanga.

Kabisa yaani.Andy murray aliishiaga wapi ?
 
Bado ataendelea kuwa King lakini ajue Thiem na Tsitsipasi wamenuia kumuondoa kwenye ufalme wa French Open.
Kasema siku akija kupoteza French Open basi atapenda apoteze mbele ya Thiem.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Alifanyiwa hip operesheni January mwaka huu mara tu baada ya Australia Open. Atacheza double na mdogo wake Wimbledon nadhani ni kutest kama ataweza kurudi au abwage manyanga.
Wimbledon hiyo ya Roger au Djokovic.Andy tokea ashinde Wimbledon 2016 sijawahi msikia tena akishinda Grand Slam.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wimbledon hiyo ya Roger au Djokovic.Andy tokea ashinde Wimbledon 2016 sijawahi msikia tena akishinda Grand Slam.
Andy majeruhi muda mrefu. Iliobaki kidogo astaafu ila atarudi kujaribu Wimbledon
 
Back
Top Bottom