Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 164
Kwa kweli sasa imepita kipimo cha kawaida.
Karibu kila kashfa kubwa ya upotevu wa pesa au ubadhirifu inayotokea nchini kuna jina la mfanyabiashara maarufu wa kiasia linajitokeza. Kwa mifano michache tu ya rada, ndege mbovu, magari ya wanajeshi, vifaa vya jeshi, richmonduli, wizi BoT, na mengine mengi tu...... hawa wenzetu wameonesha kuwa hawana nia njema kabisa na nchi yetu.
Nitaonekana mbaguzi kama nikiwasakama waasia pekee hapa ila pia naona inabidi pia iwekwe wazi kuwa wakati tukila sahani moja na kina Mramba, Lowasa, Mgonja na wenzake (wazawa) inabidi pia tule sahani moja na surrogate zao (Manji, Patel, Azizi, Vit-rada) na wengine ambao wanahusika na upotevu wa mabilioni ya pesa.
Kwa wakazi wa Dar es salaam inafahamika namna makampuni ya ujenzi wa barabara ya wafanyabiashara wa kiasia ambavyo wamekuwa wakifanya kazi mbovu ya kurekebisha barabara mwaka hadi mwaka na kupelekea barabara hizo kuharibika zaidi na kuleta usumbufu mkubwa kabisa (naongelea kina Karafi na wenzake).
N'uff now, naungana na Iddi Simba katika hili. Ifikie wakati sasa maslahi ya nchi na wananchi wengi yawe mbele ya kuwa politicaly correct. Nchi zinazotamba kwa demokrasia zinaendesha criminal profiling na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kukamata wezi na wahalifu kwa gharama kidogo, kwa nini watanzania wenye uchungu na nchi yetu tusianze kuwaangalia hawa waasia kwa macho makali ya chuki kwa vitendo vyao vya wizi na ubadhirifu wa uchumi wa nchi yetu?
Najua hii inaweza kuwa sio sahihi kisiasa ila naona pia kuwa siasa ndio inaamua mambo mengi ya nchi yetu na hili la waasia kuwa na sauti kubwa sana kwenye siasa ya nchi yetu ni tatizo kubwa na inabidi liangaliwe sana kwa sasa!
Katika hili nitakubali kuitwa mbaguzi lakini niokoe maisha ya watoto wachanga wanaokufa bila dawa hospitalini huku Patel na wenzake wakichota mabilioni ya pesa za watanzania!
Tatizo si kujenga chuki tu,ila tuwashugulikie kwa kuwaponda mawe na kuwakata vichwa.ikiwezekana kuwachoma moto.!
Point hapa si kuwachukuia waasia,ila WAASIA mafisadi.Tatizo ni chama chetu kuwakumbatia hawa waasiaia sababu ndio wadhamini wao wakubwa katika kipindi cha Kampeni,hivyo ni vigumu hata Muungwana kuwagusa.isitoshe wanacontrol Uchumi wa Nchi hii kwa kushikiria Biashara kibao.Tubadili Mfumo kwa kuchagua Viongozi walio bora na ambao si mafisadi.