Rollcall ya JF: Tukaguane tutambuane

Rollcall ya JF: Tukaguane tutambuane

Nadhani wengine ni wafu bila kujulikana
Wengine wamebadili ID
Wengine wameleft kwa sababu mbalimbali
Wengine hawajulikani walipo
Wengine wameolewa
 
Nadhani wengine ni wafu bila kujulikana
Wengine wamebadili ID
Wengine wameleft kwa sababu mbalimbali
Wengine hawajulikani walipo
Wengine wameolewa
Kwa hiyo wakiolewa hawawezi tena kuingia humu! Au adhma yao ya kuwepo humu imeshatimia so hawana mda na jf tena?
 
Back
Top Bottom