Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Chenji ya Views imebakia kanunulia gari ehehehehhehehe
 
Kawaida tu, Diamond sasaivi anisumbui kichwa changu ikiwa Views Ananunua Alafu najisifia kutazamwa na Watu wengi YouTube Aliyakuwa unajua Unanunua VIEWS
Nyie makapi? Kununua views ndo vipi? Yaani ni aibu kuongea pumba hizo kwa msomi
 
kwa iyo unashauri watu wote wenye magari wayauze wakanunue apartment?
 
Muulize yeye anzo real estate ngapi na zinamlipaje?
 
Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Unasema la kawaida then unaomba sifa zake, aisee hiyo gari sio ya mchezomchezo i google tu utapata specification zake
 
Weee nae matatizo yako usituletee hapa hesabu moja ya haraka ambayo hauijui revord label tu inaacha mzigo wa kutosha, caller tunes za WCB nazo huacha pesa ndefu, endorsement mbali mbali, shows jumlisha percent ya kila msanii aliepo WCB bado eti hauamini
 
Mawazo ya team fulani ya ajabu sana 2011 Mond aliweza kumiliki kwenye account yake milioni 150 , najua wengi wenu humu mlikua busy na coursework na assignment na kuzunguka na makaratasi ya lecture , sasa anapofanya vitu msitokwe na povu ni kawaida kwani alijiandaa na gari hilo ni ndoto yake kitambo hajakurupuka.
 
Hali ilivyo sasa real estate sio biashara inayolipa,miongoni mwa biashara zilizopata mtikisiko baada ya JPM kuingia ni real estate na huko mbele ndio hakueleweki kabisa
Kumbuka ardhi haikutupi . ..na real Estate is all about location . ..ukiona wahindi bado wanajenga na kununua viwanja na nyumba kwenye prime locations . .jiulize . .haya ni mawazo tu ambayo natoa . .mwenye hekima at anielekeze. ..asante sana
 
MWENYE HEKIMA ATANIELEWA . ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…