Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Umaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
1480593329171.png
rejea kichwa account yake hapo juu utaelewa
 
Kama itakuwa ya mwaka 2016. Kodi itakuwa kama hii:-
 
Attachments

Tatizo ni hilo tu wabongo hamjui kushauri jinsi ya kupata hela ila ni mabingwa wa kushauri mtu akishapata hela yake jinsi ya kutumia. Hivi unajua watu wanatafuta hela ili iweje?
Mtu Mwenye baraka za Mwenye Enzi Mungu anawaachia urithi mpaka vitukuu vyake . ...ni ushauri tu ndugu yangu . ..tunayajua yote hayo . ..
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Wewe ushanunua apartments ngapi?
 
Vipi kiongozi, mbona lugha kali?
Hawa Jamaa wanatufanya maboya kwa kiki za kijinga jinga,hakuna sehemu yeyote hao Motors wameandika huo upuuzi kwamba tuna client tz amenunua Rolls Royce.
 
Umaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
Hii gari ngoja ukiiona kwa macho ndo utaitambua aisee......hii anaweza hata kusababisha ajali barabarani maana madereva wengine watakuwa wanaishangaa na kusahau usukani wa magari yao..so we endelea kujipa moyo
 
Kweli we differ in priorities. Muziki una mwisho wake na umri unaenda. Angekuwa na plan ya kuwa na viwanda hata vitatu au vi5, na kwa kutumia brand ya jina lake, angepiga hela mpk anakufa. Akicheza anaweza akafulia kimuziki, japo simuombei hilo, na atlast ikabaki story.
Wewe kwa kutumia brand yako umepiga hela ngapi? Hebu tujifunze kwako labda kwanza
 
Kweli we differ in priorities. Muziki una mwisho wake na umri unaenda. Angekuwa na plan ya kuwa na viwanda hata vitatu au vi5, na kwa kutumia brand ya jina lake, angepiga hela mpk anakufa. Akicheza anaweza akafulia kimuziki, japo simuombei hilo, na atlast ikabaki story.
Well said
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
braza we sijui una apartment ngapi hapa town ?
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Unatakiwa ufanye unachotaka sio kusikiliza watu.
[HASHTAG]#UmaskiniMbaya[/HASHTAG]
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Kama ulikua kwny mawazo yangu.
 
Kweli we differ in priorities. Muziki una mwisho wake na umri unaenda. Angekuwa na plan ya kuwa na viwanda hata vitatu au vi5, na kwa kutumia brand ya jina lake, angepiga hela mpk anakufa. Akicheza anaweza akafulia kimuziki, japo simuombei hilo, na atlast ikabaki story.
Chukua chibuku
 
Back
Top Bottom