Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Umaarufu bwana, gari yenyewe hata mvuto haina kabisa. Kuna magari yanapendeza sana hata kwa kutazama tu kwa macho. Lakini anyway....ni pesa zake, anaamua atakacho mwenyewe.
mfano mzuri kigari changu Toyota Sienta....teh teh teh
 
Ungeenda kupeleka huu uzi kwenye thread za Kenya ndyo ungejua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo hata uambiwe uongeze dozi ya kulala na aliekuzaa unaongeza inakuwa si jumatano bali wiki nzima mali zinaongezekaje?
 
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja..
1480591590980-png.441705
1480591624212-png.441706
1480591644842-png.441707
1480591652243-png.441708
1480591658952-png.441709
 
Huyu Tandale boy mbona anafanya mambo ya upeo mkubwa-hapa lazima Zari anatumia exposure yake kumuweka Tandale boy juu-before we know it tutakuja stukia Diamond ni international icon
 
Hapo hata uambiwe uongeze dozi ya kulala na aliekuzaa unaongeza inakuwa si jumatano bali wiki nzima mali zinaongezekaje?
Duh!kama ndo hivyo bora niendelee kula tembele na kufanya mazoezi ya kutembea huo Ujinga siwezi fanya!
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Mkuu ukiwa huna unakuwa na mawazo mazuri sana
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
We apartment zako ziko wapi nataka nipangishe?
 
Duh!kama ndo hivyo bora niendelee kula tembele na kufanya mazoezi ya kutembea huo Ujinga siwezi fanya!
Wenzio wanafanya tena zaidi ya hayo halafu kwenye maneno yao hawaachi kumtanguliza MUNGU kuwa anawasaidia sana. Umaskini ni mbaya sana.
 
Nicomment nini mama?? Hiyo ndinga ilishanuniliwa muda tu, ilibakia tu kuwa shipped kuja Tanzania basi.. Nashangaa watu wanashangaa as if ni habari mpya
Haya baba,ila nyie nawajua...
Ngoja niweke akiba ya maneno hadi hapo pira litakapokuwa Tzee. [emoji6]
 
Back
Top Bottom