Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Maskini mna matatizo sanaDuh!kama ndo hivyo bora niendelee kula tembele na kufanya mazoezi ya kutembea huo Ujinga siwezi fanya!
Ukiwa Maskin ndo Utakuwa Na hayo Mawazoo !!
Ya Kichawi chawiiiiii
Humu wanaocomment wengi kwanza wamepanga, chumba kimoja, hawana viwanja, ni wanafunzi labda wa vyuo au wako kwenye kazi za vipato vya kati kibongo bongo, pesa atafute mond leo umpangie matumizi mara ajenge apartment mara blah blah kibao, acheni wivu kama hauna pesa tafuta ndio uzipangie matumizi
Hakuna tajiri mwenye wivu.. We maskini tuMimi sio maskini kama unavyodhani,kwa taarifa yako nina nyuma za kupanga,magari na mashamba.Lakinii,hata maskini ni mtu.Ilaa,utajiri wa mapepo hatuutaki.Mwisho wake ni mbaya na vilio.
Ndugu, hujajua sifa zake lakini umeshasema la kawaida sana !?Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Hakuna tajiri mwenye wivu.. We maskini tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umetukomalia sana,naona unatamani ungeweza kuhuck PM yangu.
Lol
Nimecheka sana.
Haki ya mama sio nimewakomalia mkuu ,nimefurahi tu jinsi hii lethal combination ilivyo jitokeza yaani ,dah yaani smooth bila shida yoyoteDaaabh Mkuu wacha niseme tu! Umemkomalia sana huyu mrembo aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
La kawaida kwa kuwa kijijini kwenu kila mtu analo au? Mwambie babu yako aniazime nikatese nalo maana dunia nzima wanajua hilo gari si la mchezo na ukiwa nalo hilo we level zingineMbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Sawa mkuu!Maskini mna matatizo sana
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.. View attachment 441705View attachment 441706View attachment 441707View attachment 441708View attachment 441709
Hakuna tajiri mwenye wivu.. We maskini tu
inajiendesha yenyewe, haitumii mafuta na ukipanda hufiMbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee una vituko sana.Haki ya mama sio nimewakomalia mkuu ,nimefurahi tu jinsi hii lethal combination ilivyo jitokeza yaani ,dah yaani smooth bila shida yoyote
Wengine tunaloga lakini wapi
Sijui nianze kuleta makala za Pazi na kisa cha jogoo au muwa uliozamisha meli
Wanaweza wakanielewa
Kwa nini umuonye mtu ambaye katafuta pesa kivyake? Hebu tumia busara zako kuwaonya vijana waliokaa vijiweni uwape mbinu za kupata hela.. Siyo unakurupuka. Kuwapangia matumizi watu wenye pesa zao wakati hukuwapa mbinu za kusaidia kuzipata.Linaloendelea kwa hawa vijana liko wazi.Tunachofanya ni kuwaonya mapema yasije yakawakuta kama wenzao,akina Tupac,wala hatuwaonei wivu,tumetosheka.