Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee una vituko sana.

Jaribu mkuu,huenda watakuelewa.
Huyu naye hakujua kama yangekuja kuwa hivi...[emoji12]
Shida ya makala za hivyo watakao nielewa sio wa kivile ni hawa wenzangu na mimi kina Dina na mwajei
Mimi nataka wa aina yako

Ila sio kesi Mkuu ngoja nitafute njia nyingine ya kutokea

Niwatakie kila la kheri
 
Kiki Za Kingese Sana hizi.

Don't hate bro! Get angry or be inspired!! Congratulate the Guy! It is a milestone.

Mimi sio shabiki wake but for sure I must admit: Hats off bwana Diamond. It is an achievement. Kama kweli hii gari umeagiza inakuja Tanzania. Na usomi wetu wengi humu (na kuzaliwa familia bora huko ushuani......)...tunabanana na passo za Japan!

Whoever is saying otherwise ni hater!

Hongera sana Diamond.
 
hongera zake sana kama umepata mafanikio ni vizuri kununua kitu ambacho roho inataka , hongera dogo
 
Shida ya makala za hivyo watakao nielewa sio wa kivile ni hawa wenzangu na mimi kina Dina na mwajei
Mimi nataka wa aina yako

Ila sio kesi Mkuu ngoja nitafute njia nyingine ya kutokea

Niwatakie kila la kheri

Dah,umenisikitisha sana.

Tunakushukuru sana mkuu,tunakutakia kila la kheri pia.

Cheers [emoji485]
 
Alikiba amepewa tuzo yake???
Nasikia kanunua ndege?
Amepewa ile bil 1 ya tecno kule Dubai?
 
Sawa,ila majuto ni mjukuu.
Kwa nini umuonye mtu ambaye katafuta pesa kivyake? Hebu tumia busara zako kuwaonya vijana waliokaa vijiweni uwape mbinu za kupata hela.. Siyo unakurupuka. Kuwapangia matumizi watu wenye pesa zao wakati hukuwapa mbinu za kusaidia kuzipata.
 
halafu hili gari linafanana na langu nililoagiza
 
Hivi hii Rolls Royce na Toyota Harrier new model IPI Kali?
 
Hongera Sana Diamond kwa kununua Rolls Royce ya Bilioni 1.8 ( CIF 900m + Kodi 900m).
 
Back
Top Bottom