Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

Ukishafanya maamuzi ya kununua gari kama hiyo hata kodi isn't a big deal. Italipwa tuu. Wengi tunashindwa kununua vitu vizuri si kwa sababu hatuna uwezo Bali in umasikini WA mawazo. Kununua kitu kizuri inabidi kwanza ubadilishe mindset hata kabla ya kuiangalia wallet.
 
Soo m
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Sio mistake anazidi kujiongezea thamani
 
vipi mkuu mbona povu lina kutoka iv umetumia sabuni ya Tossi nini??????
Hakuna Povu ujue nyerere alisema ukiona mtu anakwambia kitu cha kipumbavu na wewe ukakikubali basi atakudharau,Huyu bwana mdogo analeta mashudu humu akitegemea watu wenye akili tutamsupport nah....
 
Mambo ya kawaida mbona mpaka vitoto vidogo kama Kendal Jenner vinaendesha?
 
Chuki kwa mtu alie kuzidi uwezo ni kujitafutia vidonda vya tumbo tu.
Hamna chuki hata kidogo,Kuna watu wanapesa za kutosha,Diamond bado hajafikia kiwango cha kuwa tajiri,ana hela ya kula na kujenga sehemu ya kuweka ubavu na kununua vitoyo vya kutembelea na kuhonga senti tano kina tunda na mabeto.
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Mbona nyumba anazo tu kaka
 
Don't hate bro! Get angry or be inspired!! Congratulate the Guy! It is a milestone.

Mimi sio shabiki wake but for sure I must admit: Hats off bwana Diamond. It is an achievement. Kama kweli hii gari umeagiza inakuja Tanzania. Na usomi wetu wengi humu (na kuzaliwa familia bora huko ushuani......)...tunabanana na passo za Japan!

Whoever is saying otherwise ni hater!

Hongera sana Diamond.
Hakuna Chuki bali Hana Uwezo wa Kununua Phantom nayoina kwenye picha.
 
Hongera zake kijana. Kodi yake si haba na mwezu huu angalau TRA watarudi tena kukusanya at least 1.3 trilion
 
Elimu Elimu Elimu,Wapi Wamesema kwamba Huo Mchuma ameununua Diamond? Tanzania Diamond ndio mwenye pesa ya kununua Phantom? Acheni Kiki zisizoeleweka kisa KOKORO imebuma sasa mwendo wa BAMBAtoBAMBA hakuna simba wala mamba.
Huo ndo ukweli.. Kama unaujuzi wa magari angalia hiyo model inayotumwa tanzania then tembelea post ya diamond insta miezi kadhaa nyuma liipost exactly model hiyohiyo then akapiga kimya. Nna email toka kwenye iyo kampuni kuhusu shipment details ya hiyo gari ila siwezi kudisclose hapa itajulikana ni mimi kutokana kwamba kampuni yetu ndo inahusika kwenye clearing. We tuliza bolu utaona mda si mrefu
 
Sina account Instagram kiongozi,Achana na speculation ndugu Fanya kazi,Siwezi kutishika kwa Diomond kusema kwamba kanunua Rolls Royce ila iwe kweli na sio promo za kukikisha kokoro.
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Ingawa fedha zake haziniusu lkn angejikita ktk real estate..
 
Hakuna Chuki bali Hana Uwezo wa Kununua Phantom nayoina kwenye picha.
We jamaa bonge la mshamba ukisikia rolls royce unajua phantom tu.. Hiyo siyo phantom hiyo ni rolls royce dawn milango miwili au coupe.. Phantom ni full house milango minne. Hata model huzijui unabisha tuu
 
Usikariri Ndugu Phantom lazima iwe na milango minne na closed top lol. hahaha Nacheka kwa Dharau_Tunasepa na kijiji.
Phantom.jpg
 
Platinum analipa kodi TRA million 34 kila mwezi.... Kumiliki gari ya million 900 ni halali anaweza.
 
Ingawa fedha zake haziniusu lkn angejikita ktk real estate..
And this is the problem of many wananchi. What makes you think kwamba real estates ndo mpango mzima? I thought kila mtu ana freedom ya kutumia hela yake as he/she wants. Hii mentality ya wealth accumulation...sijui kujengea apartments watoto...kununua viwanja..more than you need...ndo inatufanya tunakufa masikini. Mtoto mpatie foundation. Na yeye Atahangaika atafute vyake.

If diamond has bought that car..for sure I salute him.
 
Hakuna Chuki bali Hana Uwezo wa Kununua Phantom nayoina kwenye picha.
Bila shaka unajua pesa aliyonayo,hebu tuambie ana sh'ngapi kwa sasa ........Na hiyo gari inauzwa kiasi gani .............Lakini kumbuka hiyo sio Phantom.
 
Back
Top Bottom