Rolls Royce ya Diamond ni fake au Real?

Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% watz wengi tumejawa na wivu,roho mbaya na husda za laana..achilia mbali ushamba wa karne unao tufanya tuonekane washamba grade A.

Ivi kweli ni mtu gani anaweza kutengeneza RR copy in and out na RR Wenyewe wakamwacha salama? Au ndo mambo ya coka ya USA na Africa hazifanani ladha?.

Ivi kweli Mtu awe na uwezo wa kutengeneza RR tutoe benefit of doubt RR owners wamekua wajinga waka ruhusu mtu acopy. Uyu mtu ni mjinga kiasi gani cha kushindwa kuja na brand yake aende kukocopy brand ya watu kila kitu wakati ana uwezo tayari wa kutengeneza gari lake? Yani ni sawa na TOYOTA V8 zingeitwa Rolls Royce kitu ambacho hakipo na hakito kuja kutokea.


Nilicho jifunza kwenye hili ni Watanzania wengi ni washamba mno kisa wameona ile badge wataalam wa magar wanakiita "the Spirit of Ecstasy" ni cheusi basi wakasema ni copy kwasababu wameona kuna rangi nyingine kama ya gray ivi kind a metalic one. Kumbe ile badge ni nyeusi kwasababu ndo wenyewe wameamua iwe ivyo ndo maana gari linaitwa "RR Cullinan Black Badge 2021"
Mtanzania kisa kaona cheusi basi ni copy.

Shame on You all mlio sema gari ni Copy ile sio Tecno.
 
unaelewa ulichoandika mkuu
 
Gari kali sana Ile wasiopenda mafanikio yake wanateseka sana, Mbaya zaidi iko moja tu hapa Dar kama sio afrika mashariki na kati! !bilioni 1.5 ni pesa ndefu sana kwa mtanzania wa kawaida hawez miliki iyo gari kabisa...na hata wenye pesa ni mmoja katika 100 ndio anaweza inunua
 
Diamond mwenyewe kasemaje Kwani..!!!
 
Umeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?

Lile gari sio jipya. Hizo bei zilizowekwa pale ni za gari Brand New.

Nadhani hatuhitaji mjadala kujua kwamba lile gari ni jipya ama lah.
 
Umeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?

Lile gari sio jipya. Hizo bei zilizowekwa pale ni za gari Brand New.

Nadhani hatuhitaji mjadala kujua kwamba lile gari ni jipya ama lah.
Gari hata iwe mtumba! Tafuta gari ya 2018 hata prado tu kisha kokotoa kodi uone kama haiji 80%-110% ya bei ulionunulia huko nje! Kikokotoo chenu ni kichaa kile!

Yani gari ya $55,000 utakuta kodi yake ni $57,000 likiwa ndogo sana utakuta kodi ya $50,000

kwanza huku kote mbali sana tuchukulie IST tu ya mwaka 2010 hio kuagiza ni kama 10.3M na ushuru ni 8.3M! Ukiangalia uwiano wa kodi na bei ni kama 80% ya CIF utailipa kama kodi! Hio ni gari ya 2010 tu! Mtumba
 
Unatafuta ban?
 
Umeenda kwenye TRA calculator ukakuta hiyo kodi!?

Lile gari sio jipya. Hizo bei zilizowekwa pale ni za gari Brand New.

Nadhani hatuhitaji mjadala kujua kwamba lile gari ni jipya ama lah.
We ulijuaje sio Jipya au ulikuwa nae Dubai akilipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…