Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% watz wengi tumejawa na wivu,roho mbaya na husda za laana..achilia mbali ushamba wa karne unao tufanya tuonekane washamba grade A.Hivi unawezaje kutengeneza Rolls-Royce fake na ukaweka kila kitu cha Rolls-Royce kuanzia nje mpk ndani?nimeamini nyani hata ukimvalisha nguo hawezi kufikiri kama mwanadamu kisa umemvalisha nguo za binadamu watanzania ni moja ya watu wenye roho mbaya sana na wivu wa kijinga sana
Yule chizi wa kike tulitegemea kuwa kwake US kwa kipindi kirefu kidogo anaweza kuadopt japo akili kidogo kumbe kavalishwa nguo tu akili zake bado zinawaza kupanda miti na kula ndizi tu
Ivi kweli ni mtu gani anaweza kutengeneza RR copy in and out na RR Wenyewe wakamwacha salama? Au ndo mambo ya coka ya USA na Africa hazifanani ladha?.
Ivi kweli Mtu awe na uwezo wa kutengeneza RR tutoe benefit of doubt RR owners wamekua wajinga waka ruhusu mtu acopy. Uyu mtu ni mjinga kiasi gani cha kushindwa kuja na brand yake aende kukocopy brand ya watu kila kitu wakati ana uwezo tayari wa kutengeneza gari lake? Yani ni sawa na TOYOTA V8 zingeitwa Rolls Royce kitu ambacho hakipo na hakito kuja kutokea.
Nilicho jifunza kwenye hili ni Watanzania wengi ni washamba mno kisa wameona ile badge wataalam wa magar wanakiita "the Spirit of Ecstasy" ni cheusi basi wakasema ni copy kwasababu wameona kuna rangi nyingine kama ya gray ivi kind a metalic one. Kumbe ile badge ni nyeusi kwasababu ndo wenyewe wameamua iwe ivyo ndo maana gari linaitwa "RR Cullinan Black Badge 2021"
Mtanzania kisa kaona cheusi basi ni copy.
Shame on You all mlio sema gari ni Copy ile sio Tecno.