Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma.

Wakuu Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Roma Mkatoliki ameandika kuwa : “Niki!! Punguza Chuki, Chuki Zinakimaliza Kipaji Chako, Fanya Muziki Acha Makasiriko Kwa Wasanii Wenzako, Acha Chuki, Haikujengi Inakubomoa Kila Leo.

Kuna Wakati Unasingizia Hiyo Life Style Yako Hiyo Ndio HipHop, Big No, HipHop Sio Chuki, HipHop Ni Love & Peace. Utamaduni Wa HipHop Hautufundishi Chuki!! Unatufundisha UNIT’

Miaka Inakwenda Mzee Mwaka Wa 10 Huu Unatumia Same Approach Kwenye Game, Badilika, Watu Wamekua Sasa, Wanafocus Kwenye Majukumu Ya Familia,Wanalea Watoto, Wanaifanya Hii Game Biashara, Wana-Squash Beef Wana-Unit’ Keep Ya’ Head Up Son!!

Usirudishe Watu Kwenye Maisha Ambayo Washayapitia, Muda Hautoshi, Grow Up Mzee, Fanya Muziki Wako On Your Own Ways, Pasi Kuzungumzia Watu Wasiokuzungumzia Au Kukujibu, Ili Uje Ufurahie Matunda Ya Muziki Wako Kimpango, Tengeneza Content Ya Muziki Wako, Peleka Sokoni Ikipendwa Na Wengi Watanunua Simple Tu!! Shabiki Hahitaji Umshikie Gun Ndio Akupende, So Heshimu Na Wakumbatie Wachache Ulionao, Focus Kuwatengeneza Wengine Wengi!! Kumbuka Wengi Ni Mutual Fans So Zingatia Tu Contents Zako!!

Wakati Mwingine Unaowawekea Chuki, Wao Wanajitafuta Kwa Njia Zao Pasi Kuku-bother Wewe, Na Pengine Hata Wao Hawajafanikiwa Kiivo, Unawawekea Chuki Bure, Tabia Za Kichawi Hizo, Wakatoliki Hatufundishwi Hivo!! Badala Msapotiane Kuijenga Game Pamoja Kama Wenzenu, Nyie Mnataka Tuvutane Tuanguke Wote Then You Come Out Na Kujinadi You Are HIPHOP!! Bro This is 2021 Tumeshatoka Huko Kwenye Hizo Zama!!

Una Mu-Attack Kila Msanii, Una Matatizo Gani? Leo Huyu Hajui, Kesho Yule Anabebwa. Huheshimu Mkubwa Wala Mdogo, Unamchukia Hadi Mtoto Ambaye Hajazaliwa. Comon Man!! Thats Not HipHop!! Huwezi Kuwa Unajua Kila Kitu, Huwezi Kuwa Uko Sahihi Kila Kitu, Punguza U-Much Know!!

Wakuu naona Vijana wanavurugana Sana Hawa Shida Ni Nini Kwani?

Credit to Bongo5.com
 
Tamaduni music

Ila Niki ana audience yake ambayo ipo loyal sana kwake na hivyo kudiss watu kunamfanya awe kama masiah kwa wanaoamini katika traditional Hip Hop. Ila sina uhakika kama hao watu wananunua muziki wake au akiitisha show kubwa wanaweza jaza stadium, SIJUI

ila who am i, unaweza kuta anafanya muziki wa harakati na hajali kuhusu figures maana binadamu tupo tofauti na tunaridhika kwa vitu tofauti. Mwingine anaridhika na pesa, mwingine sifa au umaarufu ambao haumuingizii chochote
 
Wewe unaridhika na nini?
 
Wewe unaridhika na nini?

since umeuliza

ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.

Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi ✊✊

"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
 
Anajali namba na ndo kinachompa stress.

Jamaa ni mkali wa michano no doubt ila hakubaliki inamuumiza sana anaishia kuchukia wenzake, huu ndo uchawi wenyewe.
 
Yeah ukiona unastahili kuliko wengine halafu hufiki wanapofika wao. Stress inakuwa kali na usipojicontrol ndio inatokea hali ya kuwachukia

kama anataka numbers akubali kwenda commercial na awaimbie audience kubwa zaidi kama wenzake maana bila hivyo, atabakia hapo hapo sababu niche anayoitegemea haiwezi kumfikisha anapopatamani
 
since umeuliza

ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.

Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi ✊✊

"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
Nimeipenda hii.Bravoo ila be careful man walimwengu sio watu
 
Nick ni kweli ana mengi ya kujifunza, jamaa yuko vizuri sana sijui anakwama wapi ? Muda wote moyo hauchanui kwa ajili ya wengine
 
Nimeipenda hii.Bravoo ila be careful man walimwengu sio watu
Hata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
 
true mzee nimeshakutana na mengi hadi saa hii lakini kuna vitu huwezi kuvibadilisha ila kuvicontrol tu. Nakumbuka one of my Jf friends aliyefariki last year aliniambia kuwa hiyo ndio itakuwa sababu ya downfall yangu

ila najitahidi champ ✊✊✊
 
Hata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
true mkuu,

Ila ukifanya kitu kwa ajili yako bila kutegemea someday kuwa huyo mtu atakufanyia vivyo hivyo inasaidia sana

kingine ni kujiepusha na watu ambao unaona kabisa ni users na toxic. Quality over quantity ✊✊
 
since umeuliza

ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.

Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi ✊✊

"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
Basi saidia kushow some ropes huku streets ili kusogea mbele financially
 
imenibidi nimsikilize nikki mbishi, jina lake la kisanii linasadiki mziki anaoufanya.
tumuungishe jamaa kwa product yake ya UNJU BIN UNUQ. hata roma amsupport mwana hiphop mwenzake kuspread love and not war.
 
Back
Top Bottom