Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila pia tuwe wakweliYule jamaa hashauriki hivi juzi hapo nay wa mitego alihojiwa ataje rappers wakali lakini pamoja na utofauti wao ye na nikki bado mchizi alimtaja nikki mbishi kua ni moja ya wasanii wazuri na anao wakubali japo hailewi ni kwanini mchizi ana chuki na yeye
Kuna moja ya interview zake nikki mbishi alisema enzi za kikwete kulitolewa list ya wasanii walioitwa ikulu na kikwete kulikua na mchongo, lakini waliopewa hiyo list waliambiwa wawashirikishe na wenzao wawape taarifa wajumuike wote siku hiyo
Inavyodaiwa ni kua roma ni miongoni mwa watu walikua na hiyo list na mara ya mwisho roma walionan na nikki siku mbili kabla ya hiyo event na mchizi akala buyu hakutaka kumuambia kua nawewe umealikwa
So baada ya hiyo event kupita ndio ikaja kugundulika kumbe walikua wasanii wengi tu walialikwa ila machizi walialikana kimatabaka ili mradi wao wavimbe, hiyo ndo sababu nayo ijua mimi ya nikki kumdiss roma
Ila hoja ya kusema roma ka trend kwasababu ya kutekwa haijakaa vizuri, miaka ya 2011 roma alitrend sana kuliko hata saizi tena katika season ambayo mitandao ya kijamii haijawa popular
Yap naye hayo ndo mapungufu yake hata kiharakati jamaa kamtenga moni, naskia moni alizinguana naye baada ya wao kutekwaila pia tuwe wakweli
Roma ni snitch sana anapenda kuongelewa yeye tu basi.
Walipotekwa yeye moni na kina Bin Laden, akawaambia wakae kimya wasiseme kitu.
Cha ajabu yeye akaitisha press na kuongelea yote ni nini kama sio usnitch huo?
Ndio chanzo cha kuzinguana na moni na Bin Laden lakini laden na Roma zinaiva saivi
Ndio uone usnitch wake Roma japo nikki nae ni hot tempered lakini Roma nae pia ana ubinafsi.. Kila mtu ana mapungufu yake hata moni alisema hilo wazi.Yap naye hayo ndo mapungufu yake hata kiharakati jamaa kamtenga moni, naskia moni alizinguana naye baada ya wao kutekwa
Hapana sio ubishi wa kupiga watu,ni ule ubishi wa ujuaji,huwezi kumshauri kitu akafata ushauri wako. Anaamini katika maamuzi yake[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbishi kivipi?? anapiga watu au ana ubabe wa kishamba Kama jiwe?
Ni kweli,tulikua nae mwaka mmoja lakini katika idara tofauti,lakin ilibidi arudie mwaka mmoja nyuma kutokana na ubishi wake,pmj na kurudia hakuweza kuchukua diplomaNaskia hata hiyo Diploma ya computer hakufanikiwa kuipata hapo MUST,ni kweli?
Mbona analialia mitandaoni kuwa Roma anamzidi popularity kwa sababu ya kiki ya kutekwa.Roma mashabiki wake wanweza kununua kazi zake? Roma hata hata album wala mixtape.Nikki mbishk album yake ya Sam Magoli mbona kauza mkwanja mrefu tu