Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUST, Mi nimekaa nae room moja pale namuelewa vizuri yule ni very stubborn person yaan ni mbish kweri kwerinick ana vijimambo ya kishamba nilimkuta chuo vijitabia vyake vya kidwanzi sana.. na akafeli
great thing champ ✊same way homie
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbishi kivipi?? anapiga watu au ana ubabe wa kishamba Kama jiwe?MUST, Mi nimekaa nae room moja pale namuelewa vizuri yule ni very stubborn person yaan ni mbish kweri kweri
Naskia hata hiyo Diploma ya computer hakufanikiwa kuipata hapo MUST,ni kweli?MUST, Mi nimekaa nae room moja pale namuelewa vizuri yule ni very stubborn person yaan ni mbish kweri kweri
Hasira na chuki nyingi zilizosababisha NIKKI akaropoka aliyoropoka imetokana na hiyo list hapo chini, yaani kuonekana rap artist aliyemo kwenye top ten ni ROMA peke yake hilo jambo halikumfurahisha ndiyo maana akadai kuwa popularity ya ROMA imesababishwa na 'kiki' ya kutekwa na si muziki wake.wewe ni msanii....mmekutana wasanii kumi mkaingiza watu 2000 hii haina maana kwamba hao watu 2000 wamekuja kukuangalia wewe.nguvu ya msanii inapimwa na show yake mwenyewe na sio za fiesta
ni kweli lakini popularity ya roma imeongezwa na kutekwa.wimbo wa kwanza wa roma kuwa na viewers wengi ni ule alioutoa baada ya kutekwaHasira na chuki nyingi zilizosababisha NIKKI akaropoka aliyoropoka imetokana na hiyo list hapo chini, yaani kuonekana rap artist aliyemo kwenye top ten ni ROMA peke yake hilo jambo halikumfurahisha ndiyo maana akadai kuwa popularity ya ROMA imesababishwa na 'kiki' ya kutekwa na si muziki wake. View attachment 1883964
Nimewahi kumuona pale kilingeni anapafomu yupo vizuri sana.ngoja nirudie kuziangalia show alizofanya wasafi then ntatoa commentSanaa ina pande nyingi unazotakiwa kuzitimiza ili ufanikiwe, Nikki ni mzuri kwenye kuandika kuliko wasanii wengi na hapa ndipo panapompa kichwa, ila ni m'bovu sana jukwaani katika kuiteka hadhira na hapa ndio penye pesa na wengi wanamzidi kama kina Nay wa Mitego, Roma, Stamina n.k na ndipo chuki inapochukua nafasi yake.
Lakini pia ulimwengu wa leo hata uwe na kipawa gani ila ili ufanikiwe connection ni muhimu, na nidhamu ndiyo nguzo...ukijifanya mjuaji na kutukana kila mtu unaachwa.
hivi nini maana ya kukiss ass?[emoji2]huyu jamaa mtata
View attachment 1883984
Ass kisser ni mtu mnafiki anayetoa maneno matamu na kuficha uhalisia.hivi nini maana ya kukiss ass?[emoji2]
ili apate manufaa flaniAss kisser ni mtu mnafiki anayetoa maneno matamu na kuficha uhalisia.
Roma mashabiki wake wanweza kununua kazi zake? Roma hata hata album wala mixtape.Nikki mbishk album yake ya Sam Magoli mbona kauza mkwanja mrefu tuNikk wakati wake unaelekea ukingoni na fans wake wengi ni hustlers hawana pesa ya kununua kazi zake hivyo anakufa taratibu kimziki ndio maana anatapatapa.
Halafu jamaa ni mswahili sana hawezi kutoa nyimbo bila kumdisi msaniii
Haswaa!ili apate manufaa flani