mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kuwaepuka ni ngumu kwa sababu wahenga wanakwambia kikulacho kinguoni mwako.true mkuu,
Ila ukifanya kitu kwa ajili yako bila kutegemea someday kuwa huyo mtu atakufanyia vivyo hivyo inasaidia sana
kingine ni kujiepusha na watu ambao unaona kabisa ni users na toxic. Quality over quantity [emoji110][emoji110]
show gani Roma amewahi kufanya na akajaza peke ake?Tamaduni music
Ila Niki ana audience yake ambayo ipo loyal sana kwake na hivyo kudiss watu kunamfanya awe kama masiah kwa wanaoamini katika traditional Hip Hop. Ila sina uhakika kama hao watu wananunua muziki wake au akiitisha show kubwa wanaweza jaza stadium, SIJUI
ila who am i, unaweza kuta anafanya muziki wa harakati na hajali kuhusu figures maana binadamu tupo tofauti na tunaridhika kwa vitu tofauti. Mwingine anaridhika na pesa, mwingine sifa au umaarufu ambao haumuingizii chochote
mnugu unamjua Krs One?Nikki Mbishi chuki inammaliza, watu mtaani hawajui ngoma yake hata moja anaishia kuchukia wenzake ambao wanasikilizwa na kila rika.
wewe ni introvert bila shaka.... wanasema shukrani ya punda mateke.vipi hao uliowasaidia. hawajawahi kukupiga mateke?since umeuliza
ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.
Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi [emoji110][emoji110]
"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakuona introvertHata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
You are right 100%true mkuu,
Ila ukifanya kitu kwa ajili yako bila kutegemea someday kuwa huyo mtu atakufanyia vivyo hivyo inasaidia sana
kingine ni kujiepusha na watu ambao unaona kabisa ni users na toxic. Quality over quantity [emoji110][emoji110]
tabia gani??? nasikia ni mzee wa tungi sananick ana vijimambo ya kishamba nilimkuta chuo vijitabia vyake vya kidwanzi sana.. na akafeli
ni rahisi kuwatambuaKuwaepuka ni ngumu kwa sababu wahenga wanakwambia kikulacho kinguoni mwako.
Utawajuaje?assume ni ndugu yako umempa hela akaenda kuitumia kwenye ushirikinani rahisi kuwatambua
tungi bishoo dharau...kila anachokitaka anataka atumie jina la nick mbishi kukipata akitaka demu anamtaka kwa lazima yaani kila kitu yeye apewe priority ..of coz nilimuona mshambamshamba fulanitabia gani??? nasikia ni mzee wa tungi sana
Yes, kwa matajiri ni kanuni ya #UnyamaUnyamaTu.Hata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
Asingekuwa analalamika, analalamikia hip hop artists wenye subscribers wengi na wanaoshangiliwa sana kwenye live performances kwa sababu gani.Tamaduni music
Ila Niki ana audience yake ambayo ipo loyal sana kwake na hivyo kudiss watu kunamfanya awe kama masiah kwa wanaoamini katika traditional Hip Hop. Ila sina uhakika kama hao watu wananunua muziki wake au akiitisha show kubwa wanaweza jaza stadium, SIJUI
ila who am i, unaweza kuta anafanya muziki wa harakati na hajali kuhusu figures maana binadamu tupo tofauti na tunaridhika kwa vitu tofauti. Mwingine anaridhika na pesa, mwingine sifa au umaarufu ambao haumuingizii chochote
true mzee nimeshakutana na mengi hadi saa hii lakini kuna vitu huwezi kuvibadilisha ila kuvicontrol tu. Nakumbuka one of my Jf friends aliyefariki last year aliniambia kuwa hiyo ndio itakuwa sababu ya downfall yangu
ila najitahidi champ ✊✊✊
Yule jamaa hashauriki hivi juzi hapo nay wa mitego alihojiwa ataje rappers wakali lakini pamoja na utofauti wao ye na nikki bado mchizi alimtaja nikki mbishi kua ni moja ya wasanii wazuri na anao wakubali japo hailewi ni kwanini mchizi ana chuki na yeyeAmempa shule tosha sana ,nikki mbishi aufanyie kazi ushauri wa roma utamsaidia sana.
Yule jamaa hashauriki hivi juzi hapo nay wa mitego alihojiwa ataje rappers wakali lakini pamoja na utofauti wao ye na nikki bado mchizi alimtaja nikki mbishi kua ni moja ya wasanii wazuri na anao wakubali japo hailewi ni kwanini mchizi ana chuki na yeye
Kuna moja ya interview zake nikki mbishi alisema enzi za kikwete kulitolewa list ya wasanii walioitwa ikulu na kikwete kulikua na mchongo, lakini waliopewa hiyo list waliambiwa wawashirikishe na wenzao wawape taarifa wajumuike wote siku hiyo
Inavyodaiwa ni kua roma ni miongoni mwa watu walikua na hiyo list na mara ya mwisho roma walionan na nikki siku mbili kabla ya hiyo event na mchizi akala buyu hakutaka kumuambia kua nawewe umealikwa
So baada ya hiyo event kupita ndio ikaja kugundulika kumbe walikua wasanii wengi tu walialikwa ila machizi walialikana kimatabaka ili mradi wao wavimbe, hiyo ndo sababu nayo ijua mimi ya nikki kumdiss roma
Ila hoja ya kusema roma ka trend kwasababu ya kutekwa haijakaa vizuri, miaka ya 2011 roma alitrend sana kuliko hata saizi tena katika season ambayo mitandao ya kijamii haijawa popular
sio lazma ujaze ukumbi , ukishakuwa na fan base kubwa kama mainstream artist lazma kuna faida unapata kama influencer, kuuza muziki online na show ndogo ndogo hazikupigi chengashow gani Roma amewahi kufanya na akajaza peke ake?
wewe ni msanii....mmekutana wasanii kumi mkaingiza watu 2000 hii haina maana kwamba hao watu 2000 wamekuja kukuangalia wewe.nguvu ya msanii inapimwa na show yake mwenyewe na sio za fiestasio lazma ujaze ukumbi , ukishakuwa na fan base kubwa kama mainstream artist lazma kuna faida unapata kama influencer, kuuza muziki online na show ndogo ndogo hazikupigi chenga
same way homiesince umeuliza