Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma

Muziki ni burudani, Wasanii ni wengi na soko ni kubwa sana tu…. hizo mambo za kutaka au kulinganisha nani bora kuliko nani ni UPUUZI MTUPU.
 
Ukitaka kutunza misingi sijui michano baki kilingeni, ila mtaani tunataka kupelekeana moto na amapiano…. magodoro tumeloweka.

Nina hamu ya kutoooo……too too… dadadeeki![emoji23]
 
ila pia tuwe wakweli
Roma ni snitch sana anapenda kuongelewa yeye tu basi.
Walipotekwa yeye moni na kina Bin Laden, akawaambia wakae kimya wasiseme kitu.
Cha ajabu yeye akaitisha press na kuongelea yote ni nini kama sio usnitch huo?
Ndio chanzo cha kuzinguana na moni na Bin Laden lakini laden na Roma zinaiva saivi
 
Yap naye hayo ndo mapungufu yake hata kiharakati jamaa kamtenga moni, naskia moni alizinguana naye baada ya wao kutekwa
 
Yap naye hayo ndo mapungufu yake hata kiharakati jamaa kamtenga moni, naskia moni alizinguana naye baada ya wao kutekwa
Ndio uone usnitch wake Roma japo nikki nae ni hot tempered lakini Roma nae pia ana ubinafsi.. Kila mtu ana mapungufu yake hata moni alisema hilo wazi.

Sipo upande wa yoyote
 
yani akili yangu yote nikawa najua anaesemwa humu ni nikki wa pili kumbe ni hilo vuta bangi
 
Nikki hajui kitu hip hop sio kuchezea chezea maneno tu hip hop ni art, inshort end product ya hip hop ni good music sio unatoa nyimbo mbaya alafu unafosi watu waipende.

Akasikilize hit em up ya pac ni diss track lakini ni sound nzuri.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mbishi kivipi?? anapiga watu au ana ubabe wa kishamba Kama jiwe?
Hapana sio ubishi wa kupiga watu,ni ule ubishi wa ujuaji,huwezi kumshauri kitu akafata ushauri wako. Anaamini katika maamuzi yake
 
Naskia hata hiyo Diploma ya computer hakufanikiwa kuipata hapo MUST,ni kweli?
Ni kweli,tulikua nae mwaka mmoja lakini katika idara tofauti,lakin ilibidi arudie mwaka mmoja nyuma kutokana na ubishi wake,pmj na kurudia hakuweza kuchukua diploma
 
Roma mashabiki wake wanweza kununua kazi zake? Roma hata hata album wala mixtape.Nikki mbishk album yake ya Sam Magoli mbona kauza mkwanja mrefu tu
Mbona analialia mitandaoni kuwa Roma anamzidi popularity kwa sababu ya kiki ya kutekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…