REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Mkewe ana ugonjwa Wa ushamba na vitabia vya watoto Wa shule kupenda show off nk , sasa hii kitu imemuathiri mpaka mumeweMkewe yupoje? Maaana huwa namchabo sana anavyobinua lile domo
Halafu kwa nn anatafuta sympathy sana ?
Moyoni ni fakeReal machoni tu
Waswahili hatuwapendi watu walio real. Sisi ni wanafiki mno hatutaki marafiki wanaotukosoa ,tunataka wanaotusifia. Ndio maana hatuendelei kwa kuwa mbele zetu zimejaa gizaMbona anaonekana yupo Real sana.!!
"... anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage"Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
mkuu lete marejeleo bila hapo itakuwa pragialism[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]"... anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage"
Mwisho wa kunukuu[emoji1]