Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

Roma ana matatizo gani? Kila anayekuwa rafiki yake lazima amgeuke

Watu ambao wanaweza kuwa marafiki na Roma ni akina tundu lisu,lowasa,Lema...hawa akina stamina ni wadogo sana kwa Roma hawawezi kuhimili vitisho vya akina WASIOJULIKANA...
 
Yeye aliweza? Mbona hakuwataja zaidi ya kutafuta sympathy kwenye nyimbo ya zimbabwe ambayo pia chorus ni copy toka kwa makamanda?
Watu ambao wanaweza kuwa marafiki na Roma ni akina tundu lisu,lowasa,Lema...hawa akina stamina ni wadogo sana kwa Roma hawawezi kuhimili vitisho vya akina WASIOJULIKANA...
 
Ucha utoto ww
Maisha yanasonga so unasonga nayo, coz interest zinabadilika, distance pia huweka watu mbal lakin bado hua marafiki,.... So acha utoto
Swali dogo tu marafiki zako waote tangu utoton stil unaonana nao daily...
Jibu ni hapana...
Urafik hushamir na hufubaa....
Narudia acha utoto
 
Naona umeamua kuja mwenyewe kukanusha sasa
 
Dogo wa watu walitekwa pamoja akawakataza kuzungumzia swala kisha yeye akatoka kivyake
Kwenye hili mwana aliyumba na kuonyesha ubinafsi wake dhahiri...... Kuwa na mwana wa hivi inahitaji moyo.
 
Anapenda kuwa appreciated sawa, je, yeye Ana appreciate wenzake!? Bila shaka ni mjivuni kama Trump!
Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
 
Hee! Roma ume-panic.
Ucha utoto ww
Maisha yanasonga so unasonga nayo, coz interest zinabadilika, distance pia huweka watu mbal lakin bado hua marafiki,.... So acha utoto
Swali dogo tu marafiki zako waote tangu utoton stil unaonana nao daily...
Jibu ni hapana...
Urafik hushamir na hufubaa....
Narudia acha utoto
 
Kwakuwa tu anajiweza kimziki ingekuwa sivyo ukute ashapotea.

Hakuna kizuri kisicho kasoro
 
Back
Top Bottom