Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Ni mwanasayansi kwa taaluma... Ualimu alienda by crushing tuuRoma ni Mwalimu kwa taaluma. Ndivyo walivyo wengi wao.
Atakuja kukwambia '...usipokua great thinker huwezi kuyaelewa maandishi ya Gentamcyne'Bado sijakusoma funguka mkuuu
Sio msanii tu mkuu PESA ni hatariiiWasanii wengi linapokuja suala la pesa wanakuwa mbogo.
Watu ambao wanaweza kuwa marafiki na Roma ni akina tundu lisu,lowasa,Lema...hawa akina stamina ni wadogo sana kwa Roma hawawezi kuhimili vitisho vya akina WASIOJULIKANA...
anawafyonza wenzie na kuwabwaga sio?
basi nae atakuja fyonzwa siku si nyingi
Ni mwanasayansi kwa taaluma... Ualimu alienda by crushing tuu
😀😀😀Keshafyonzwa tayari ampaka alikua anachechemea hadi wimbo kajitungia
[emoji23]mkuu lete marejeleo bila hapo itakuwa pragialism[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naona umeamua kuja mwenyewe kukanusha sasaUcha utoto ww
Maisha yanasonga so unasonga nayo, coz interest zinabadilika, distance pia huweka watu mbal lakin bado hua marafiki,.... So acha utoto
Swali dogo tu marafiki zako waote tangu utoton stil unaonana nao daily...
Jibu ni hapana...
Urafik hushamir na hufubaa....
Narudia acha utoto
Kwenye hili mwana aliyumba na kuonyesha ubinafsi wake dhahiri...... Kuwa na mwana wa hivi inahitaji moyo.Dogo wa watu walitekwa pamoja akawakataza kuzungumzia swala kisha yeye akatoka kivyake
Tatizo la Roma ni overconfident in nature. Kabla ya muziki alikuwa basketballer mzuri sana pale shulen kwetu.( USAGARA SEC - TANGA ) tabia hizo alikuanazo anapenda kuwa best na kwa bahati mbaya ni best at always so if u don't consider his ability lazima akumwage
Ucha utoto ww
Maisha yanasonga so unasonga nayo, coz interest zinabadilika, distance pia huweka watu mbal lakin bado hua marafiki,.... So acha utoto
Swali dogo tu marafiki zako waote tangu utoton stil unaonana nao daily...
Jibu ni hapana...
Urafik hushamir na hufubaa....
Narudia acha utoto
Mwanasayansi wa nni mzee. .??Ni mwanasayansi kwa taaluma... Ualimu alienda by crushing tuu
Hapa ndio kwenye tatizo lake.!Anajionaga "mwanafilosofi" a.k.a very genius kuliko wasanii woooote.