Roma bado inatawala dunia

Siku sahihi ya ibada ni Jumamosi.
Mwenyewe bado ni mroma lakini ukweli mchungu.
 
Ukweli gani..? Aliyekuambia Wakristo wanasali Jumamosi ni nani...?

Kumbuka Wasabato siyo Wakristo
Aliyekwambia jumapili ni siku ya kusali ni nan?
Wapi kwenye biblia imeandikwa?
Kwanini tunaweka sanamu kanisani?
Je zile picha zilizo kanisani ni za yesu? sura halisi ya yesu imehifadhiwa wapi?
Kwanii kwenye Salamu.Maria tunakiri kuwa Ni mama wa Mungu
Je mungu anazaliwa?
Ikiwa yeye ni mungu kwanin wakati anabatizwa na Yohane sauti inasikika ikitoka juu ikisema huyu ndiye mwanangu mpendwa nliye pendezwa naye...
Je huoni yupo mwenye mamlaka mkuu zaidi yake?
Je isingefaa iwe Mama wa mwana wa Mungu?
 
Hebu ntasoma nikitulia
 
Wacha kujaza watu ujinga.

The Hague ipo Uholanzi (Netherlands) na haipo Roma (Rome, Italy).
Wewe kuona neno The hague umekariri ni ile ya uholanzi,

Unaelewa maana ya neno THE HAGUE? Usikurupuke
 
Hizo hadith zenu ni uzushi mtupu
 
Ugiriki haipo kwenye hiyo rumi. Mbona ni taifa la zamani sana.
 
[emoji3]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…