Roma bado inatawala dunia

Kwa hiyo elimu dunia kubwa uliyonayo itakuokoa na kwenda mbinguni?
"Mkamate, sana Elimu wala usimuache.....
"

Vipi unafikiri ni Elimu gani hiyo....? We hujui mwili ni nyumba Roho..? Hivyo hiyo nyumba lazima iwe kamili ktk kila idara ili roho iwe salama...
Endelea kushangaa feri
 
Ukweli gani..? Aliyekuambia Wakristo wanasali Jumamosi ni nani...?

Kumbuka Wasabato siyo Wakristo
Aliyekuambia wasabato ni wakristo ni nani? Maandiko gani yanasema wasabato sio wakristo yaweke hapa.
Unauhakika gani Roma wanaabudu ukristo kweli?
 
Sasa mkuu kwa nn usitumegee kabisa tujue alisemaje W bush unakata uhondo wote akyanan
 
Ufunuo 17:10 Na kuna wafalme saba: watano wameanguka, mmoja yuko, yule mwingine bado hajafika, lakini atakapofika lazima adumu kwa muda mfupi. 1.Misri
2.Ashuru
3.Babiloni(Babeli)
4.Umedi na Uajemi
5.Ugiriki(Uyunani)
6.Roma(Rumi)
7.Uingereza na Marekani.
Hii inapatana kabisa na sanamu ya ndoto ya Nebkadneza kwenye Danieli sura ya 2.
 
Reactions: Kjn
na vyeti feki waroma wengi
 
Dini iliyosafi,isiyo na taka mbele ya MUNGU BABA ni hii,kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao..na kujilinda na dunia pasipo mawaa..
 
Usabato wako au uislamu wako au ukristo wako sio kinga ya wewe kuingia mbinguni...au kusali ijumaa jumamosi au jumapili.....
 
Endelea kuwanyoroshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…