Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Hakuna la maana ataloongea Roma ambalo jamii yote ya wapenda amani wanalitegemee. Roma has been tortured,threatened and is being followed and his phoned monitored. In fact roma is shaken and he can't stand it to be the roma we used to know. Pale mikocheni kwenye nyumba za mawaziri,majaji,cag,makatibu wakuu and some diplomats ukipelekwa pale na ukatoka salama shukuru Mungu. Wale jamaa ni wanyama.
 
Kila mtu mpenda haki na demokrasia katika nchi yetu anapenda kusikia ni nini kiliwapata kina Roma pamoja wenzake...

- Ni nani aliyewateka?
- Walipelekwa wapi?
- Walifanywa nini?
- Aliyewateka alikuwa na lengo gani?

Sasa sisi kama watanzania tumekuwa tukisisitiza waseme ukweli bila woga hata kama maisha yao yatakuwa hatarini kiasi gani ila tunawataka waseme ukweli, Sasa hoja yangu ni hii, kwa unafiki wa tulio wengi ni nini tutakifanya kama watanzania endapo watatutajia aliyewateka?

Nini tutakifanya endapo kama utekaji huo utakuwa ulifanywa na kiongozi wa serikali/ raia wa kawaida?

Je, tutaendeleza unafiki wakusema tunaishauri serikali/rais achukue hatua wakati alishasema tusimpangie cha kufanya?

Nini tunaenda kufanya kama tukiujua ukweli na muhusika wa huu unyama!?

Tuweke itikadi zetu kando, tujadili kama watanzania. UNAFIKI NI DHAMBI MBELE ZA MUNGU.
Mkuu namshauri Roma kama kuna kitu ambacho kitamkosti basi afikilie juu ya familia yake tu.
Kwani Tanzania bado hatujafikia kiwango cha kuhatarisha maisha yako eti maadamu tu watu wajue ukweli.

Wengi tuna ID fake humu unajua kwanini?uwoga na unafiki ni sehemu ya maisha yetu.

Laiti kama tungejuana kama tunavyomjua Pascaly Mayala hapo kidogo ningesema watanzania hakika ni majasiri kwani mara nyingi watu huwatoka pointless na point kwa kujiamin yote ni kwa kuwa hatujuani.


NAKUJA MKUU NGOJA NISIKILIZE KIDOGO WIMBO WA DIAMOND mpyaaa
 
Mkuu umeongea point kikubwa kuna watu hadi sasa hawajui kinachoendelea ndani ya nchi yao na hii itawasaidia
 
Aangalie mwenyewe usalama wake asije akaongea kufurahisha mashabiki halafu uhai wake ukawa mashakani


Uhai ni bora kuliko maneno ya kufurahisha watu

Ni bora hawataje tu kuwakomesha,,kama atajifanya kutokuwataja au kutokueleza mazingira yote yalivyokuwa, atakuwa hajawatendea haki waliojitolea kupaza Sauti kushinikiza aachiwe,,,,,
uhai kitu gani panapokuwa na mambo ya kipuuzi,,,,,km Mungu hajapanga mtu afe hamna Fala wakumtoa uhai mwenzie mkuu
 
Watanzania hasa wahanga wana Darul lsalaam msubiri kuwa very dissapointed! The shaken state of Roma, Mama yake na mkewe inakila dalili jamaa atatoa pre arranged speech!
 
Ishu iliyokuwa online ni watu kufa kwa njaa na Tanzania kuna njaa

Limezimwa zii! Watanzania ni ma fa fa fa fa
 
Roma
5946119021bc1de01ada8f07bab52eca.jpg
 
Back
Top Bottom